Elections 2010 Kyela elections!

Status
Not open for further replies.


Tupo pamoja! Lakini hapana

Ila mkuu yale yale yakujifanya unanijua, mimi tokea lini nikawa mwalimu wa Madras? Ama wataka kusema kura 10,000 zilitumika? Mbona la wakati wa kampeni wapiga kura kuondoka baada ya Dr Mwakyembe kuongea, hulisemi. Play smart what you want to deliver. Haitakaa itokee chini ya Mbingu jina la Mwakyembe kuondolewa. Keep my writings hapa
 

kilio na mateke ya farasi anayekufa ... Unajua hata wakitoa kura 10,000 toka kwa hesabu ya Mwakyembe, bado anashinda tu kura ya maoni.

BTW, kama hizo kadi zilikamatwa, hao wapiga kura feki walitumia nini kupigia kura?
 
Ni msisitizo ndugu yangu usikasirike sana kuona marudio ya yaleyale!!!!
.

Mbona uko kyela mko wengi sana, sasa kwani msigawe jimbo?.
Let say wana ccm mliopiga kura ni 20,000 na kata ziko 23.

Mwakyembe kwa sababu ni mkubwa,anachukua kata 13 na wanachama wake 11,000 na Mwakalinga kwasababu ni mdogo,yeye anabakiwa na wanachama 9,000 na kata zake 10.Hapo mtakuwa ummepunguza ugomvi huu.Sidhani kama kundi la mwakalinga, litaendelea kuliheshimu kundi la mwakyembe kwa jinsi ninavyoona hapa.

Kama wasomi kama nyie baado mnamshambulia mwakalinga kwa kushindwa kwake,je yule ambaye hakwenda darasani?

Mnafikiri haya makundi yenu mtayamaliza kweli?
 

Ha ha ha Sikonge,

Mimi kwa akili yangu iliyopindika, ninajua kuwa Afande Samweli (AS) yuko hapa kwa id nyingine, usiniulize nimejuaje maana sitakuambia.

Usione watu wanaendelea kuponda hapa, wanaona kupitia new modified droid tech na kumwona AS akilia na kusaga meno na wao wakiendeleza kichapo kama hawana akili nzuri ... ha ha haha

Gia mliotumia kushinda ni kubwa sana. Yaani kura 17,000???? Mhhh Nyie wakali. Naona Kyela inaongoza kwa kuwa na CCM wengi kuzidi hata Dar es Salaam. Nina imani hata wewe moyoni unafahamu kabisa KALUFUNDI Kamechezwa.

Kyela nzima walikwenda kupiga kura ....hata wanachadema walikwenda kumpigia kura Dr... mbona hushangai mimi (sio mwana ccm) lakini namuunga mkono Mwakyembe kwenye hii kampeni?


NO ... usifike kwenye level ya kufungiwa, JF inakuhitaji bado mkuu
 
Msanilo.
Vipi Umechoka na safari?.
Watu kuondoka baada ya mwakyembe kuhutubia nayo ni rushwa?
 
Tuombe NEC na CCM uchaguzi urudiwe labda kura za Mh GAM zitaongezeka huenda kuna mchezo wa wakubwa ulifanyika in favor of Mwakyembe! Mnataka tuamini hili?
 
katabazi na sikonge mmeniaminisha usemi unaosema mbuzi yake kamba! yaaani matokeo yametoka bado mnamwandama mwakyembe????
AMESHASHINDA HAIJALISHI NINI KILITOKEA.....takukuru hawakutujuza kama hayo myasemayo yalikuwepo kyela....kwa iyo mimi nahisi nyinyi ni wambeya (tabia si mkoa) wa kiume!
mix with yours
 

H aha haha

Eti timu Mwakalinga wanataka kugawa kyela baada ya kugundua kuwa hawawezi kushinda kwenye kura.

Kama wasomi kama nyie baado mnamshambulia mwakalinga kwa kushindwa kwake,je yule ambaye hakwenda darasani?

Mnafikiri haya makundi yenu mtayamaliza kweli?

Mwakalinga na wapambe wake mtaendelea kupata dozi hapa mpaka mkome kuringa (sio kutoka kwangu though.....)

This is what you get when you take yourself so up high in the air ... your downfall is ... well ... fill in the gap
 
Acha wafurahie ushindi huku wakiwa viroho juu wakisubiri NEC na CC iamue. Walau sisi tumeshaanza kufikiria ku-date na akina Nyanso. Wenzetu hata wake zao sasa hivi hawawataki kwa pressure. Hawa ndugu zangu Wanyakyusa bana, kazi kwelikweli. Kama Wahaya walivyo na Baganda, na wao wako karibu sana na Wazambia. Inajalisha unavyoonekana. Mwakalinga na maendeleo yake SUCK.
 

Mzee masa,

welcome back mkuu, it's nice to see you again. Nimesoma sehemu kuwa ulikuwa bize na kampeni, pole sana na karibu tena JF. Nakuhakikishia kuwa kazi uliyoniachia hapa, niliifanya vyema na mafanikio sio ya kawaida yaani hayana kipimo.
 
Tuombe NEC na CCM uchaguzi urudiwe labda kura za Mh GAM zitaongezeka huenda kuna mchezo wa wakubwa ulifanyika in favor of Mwakyembe! Mnataka tuamini hili?

Vipi Umechoka na safari?.
Watu kuondoka baada ya mwakyembe kuhutubia nayo ni rushwa?
 
Hahahaaaa, weeee Kapwani. Nikome mtoto wa Mwanaume/mwanamke mwenzio. Mie wa Sikonge nakuwa Mbeya tena?

Acha MAJUNGU maana utakuwa mkubwa na uwe LIPWANI.
 
Vipi Umechoka na safari?.
Watu kuondoka baada ya mwakyembe kuhutubia nayo ni rushwa?

Umemiss point yangu!

Alikuwa akimaliza kuongea Mwakyembe wapiga kura walikuwa hawapotezi muda kusikiliza wagombea wengine. Maana yake walikuwa hawa na sera na waliishaamua kura ni Mwakyembe. Usipoelewa nitaandika kwa herufi kubwa
 
Tuombe NEC na CCM uchaguzi urudiwe labda kura za Mh GAM zitaongezeka huenda kuna mchezo wa wakubwa ulifanyika in favor of Mwakyembe! Mnataka tuamini hili?

Yaani kwa sasa hiki ndicho wanachosubiri,

Ningewashauri CHADEMA wasipitishe mtu kwa sasa Kyela, Mwakyembe akitolewa tu NEC aingie CHADEMA kama hana akili nzuri vile
 
.

Sikonge,
Lakini sio wote ni wanyakyusa.
Kumbuka huyu masanilo ni mtu wa huku mwanza.Yeye na mimi ni kabila moja.lile kabila kubwa na wanakula sana ugali.
Hao wengine ni mambo yao tu na sio kwamba ni wanakyela.
 
Yaani kwa sasa hiki ndicho wanachosubiri,

Ningewashauri CHADEMA wasipitishe mtu kwa sasa Kyela, Mwakyembe akitolewa tu NEC aingie CHADEMA kama hana akili nzuri vile

Pamoja kwa hili.
 
.

Sikonge,
Lakini sio wote ni wanyakyusa.
Kumbuka huyu masanio ni mtu wa huku mwanza.Yeye na mimi ni kabila moja.lile kabila kubwa na wanakula sana ugali.
Hao wengine ni mambo yao tu na sio kwamba ni wanakyela.

Mkuu yale yale ya kujifanya wanijua! Sawa natokea Mwanza, unajua kama Mzanzibar wangu ana asili na Kyela? Ugali ni chakula cha wanaume tena wa ulezi changanya na Muhogo mboga ikiwa rasta sijui kama wazijua! Nsansa na vitwilo
 
Jilala, mie nimeandikia Wanyakyusa wa Kyela. Kama mtu siyo Mnyakyusa, basi hili halimhusu. Nafahamu nini niliandika na si kuwa nilikosea.
 

Yaani mkuu nguvu mali kama kungekuwa na function ya kugonga thanks mbili basi ningefanya hivyo.

Huu ndio ukweli wenyewe kwa sasa. Ila wakuu so far kichapo mnachotoa kwa Afande Samweli sio cha mtoto. SIdhani kama atakuja kurudia tena kuweka utumbo wake hapa.
 
Umemiss point yangu!

Alikuwa akimaliza kuongea Mwakyembe wapiga kura walikuwa hawapotezi muda kusikiliza wagombea wengine. Maana yake walikuwa hawa na sera na waliishaamua kura ni Mwakyembe. Usipoelewa nitaandika kwa herufi kubwa
.

Masanilo.
Mimi nimekuelewa sana Mkuu wangu.
Point yangu awali ilikuwa, tatizo la kadi feki,ambalo linaweza kumwalibia mwakyembe.Na nikalinganisha hilo na rushwa.Sasa wewe umeongelea watu kuondoka kwenye mkutano mapema,wakati mimi nilikuwa ninaongelea rushwa na uwezekano wa mwakyembe jina lake kutorudi..

Sasa wewe ndiyo haujanielewa.Mimi sijaongelea kampeni zilikwendaje.nimeongelea rushwa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…