LGE2024 KYELA: Freeman Mbowe kuongoza Uzinduzi wa Kampeni za Wagombea wa Uenyekiti wa serikali za Mitaa

LGE2024 KYELA: Freeman Mbowe kuongoza Uzinduzi wa Kampeni za Wagombea wa Uenyekiti wa serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe anaingia Jimbo la Kyela kwa ajili ya kuwanadi wagombea wa Chama chake kwenye Uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za mitaa.

Mpaka naandika hapa Shamrashamra za ujio wa Mwamba zinaendelea, Nitakuwepo na sasa niko njiani kuelekea Kyela baada ya Jana kushiriki Uzinduzi wa kampeni hizo Mbarali

Screenshot_2024-11-22-09-40-19-1.png

Bha Tata na Bha Jubha, Ndaga Mutukunyike ni mbombo, ndaga muhangajike nu ubhulondo

Twe bhanenu twe bha Chadema Twisile lelo kukaja, twisile Nkubhasosyamo mfifufumbwa fya bhulondo ifi abha ccm bhababikilemo mfyenja ifi fikindile amalongo 6.

Wazee wetu tupokeeni, Tumekuja na Ajenda nyingi mno, ikiwemo kukomboa soko la Halmashauri ya Wilaya ya Kyela lililoporwa bila aibu na ccm.

#WATAKE WASITAKE
 
CCM ni Mshindi 99.9% 😂
Jana JIMBONI KWA Tundu Lissu, Singida Mashariki nimesikia CHADEMA wameweka wagombea 91.7% kwenye vijiji na vitongoji...

Huko Tarime mji nasikia CHADEMA imeweka wagombea 90% kwenye mitaa na Tarime Vijijini zaidi ya 80% kuna wagombea wa CHADEMA kwenye vijiji na vitongoji...

Hiyo 99.9% itapitia Kona ipi...?

Na Tundu Lissu amewaambia wana Tarime kuwa wakinyang'anywa ushindi kwa nguvu wasmpigie simu kumlilia ila atataka asikie huyu aliyemtangaza wa CCM ambaye hakushida afanywa nini...!

Bro, pamoja na engua engua, hakuna cha 99.9% kwa CCM this time..
 
Back
Top Bottom