Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe anaingia Jimbo la Kyela kwa ajili ya kuwanadi wagombea wa Chama chake kwenye Uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za mitaa.
Mpaka naandika hapa Shamrashamra za ujio wa Mwamba zinaendelea, Nitakuwepo na sasa niko njiani kuelekea Kyela baada ya Jana kushiriki Uzinduzi wa kampeni hizo Mbarali
View attachment 3158603
Bha Tata na Bha Jubha, Ndaga Mutukunyike ni mbombo, ndaga muhangajike nu ubhulondo
Twe bhanenu twe bha Chadema Twisile lelo kukaja, twisile Nkubhasosyamo mfifufumbwa fya bhulondo ifi abha ccm bhababikilemo mfyenja ifi fikindile amalongo 6.
Wazee wetu tupokeeni, Tumekuja na Ajenda nyingi mno, ikiwemo kukomboa soko la Halmashauri ya Wilaya ya Kyela lililoporwa bila aibu na ccm.
#WATAKE WASITAKE