LGE2024 KYELA: Freeman Mbowe kuongoza Uzinduzi wa Kampeni za Wagombea wa Uenyekiti wa serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Huyo jamaa amejisahau mno!
 
Wameisha mwachia maana nasikia Polisi wanamahikilia kwa kosa la kushirikiana na ACT Wazalendo
 
Ameshakamatwa na kuwekwa ndani
 
Wameisha mwachia maana nasikia Polisi wanamahikilia kwa kosa la kushirikiana na ACT Wazalendo
Kosa siyo kushirikiana na ACT, Ni kwa sababu anahutubia mkoa ambao siyo kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…