Kyela Mbeya: Mwalimu ahukumiwa kifungo Cha miaka 30 faini laki Tano na fimbo 4 Kwa kumbaka mwanafunzi

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,586
Reaction score
11,227
KYELA.

Mwalimu wa shule ya msingi Ngeleka iliyopo Halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya Juma Venance Mhanga, amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela, kulipa faini ya shilingi laki tano pamoja na kuchapwa fimbo 4 baada ya kupatikana na kosa la ubakaji wa binti mwenye umri wa miaka 13.

Hukumu hiyo imetolewa na hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya Wilaya ya Kyela Paul Barnabas Mabula, baada ya kusikiliza kesi ya jinai iliyokuwa ikimhusu mwalimu huyo kudaiwa kumnajisi binti ambaye jina lake limehifadhiwa.

Baada ya kusikiliza pande zote mbili za shauri hilo, Mahakama ya wilaya ya Kyela imeeleza kujiridhisha bila kuacha shaka kwamba mshtakiwa alitenda kosa la kumbaka mtoto (13) ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi Njisi iliyopo wilayani Kyela.

Soma Pia:Mwalimu atupwa jela miaka 30 kwa kumshawishi mwanafunzi amlawiti

Akizungumza baada ya kutolewa kwa maamuzi ya Mahakama, mwendesha mashtaka wa Serikali Wakili Davice Msanga, amesema jamuhuri imeridhika na maamuzi ya mahakama na kutoa mwito kwa jamii hasa wazazi na walezi kujenga ukaribu na watoto wao ili kuwalinda dhidi ya vitendo viovu ikiwemo Ukatili wa kijinsia, ubakaji na ulawiti na kuwafanya watimize ndoto zao.

Naye Bibi wa mhanga wa tulio hilo, ameishukuru Mahakama na wadau kwa ujumla kwa madai kuwa imetenda haki kwani suala hilo lilikuwa likimletea shida.

Bibi huyo amesema amepata funzo la kuwa karibu zaidi na watoto anaowalea na kutokaribisha watu hovyohovyo ili kusaidia kuwalinda watoto.
 
Hivi hiyo faini itapewa mahakama au binti mhanga wa tukio?
 
Waalimu kaeni mbali na watoto wa kike vinginevyo mtaishia jela. Inawezekana huyo binti wa miaka 13 ni wale wenye miili mikuwa na bonge la kalio mwalimu uzalendo ukamshinda. Kuliko kutaka kutafuna mwanafunzi bora ujiunge CHAPUTA.
Umeongea point kubwa mno. Bora mtu kuwa CHAPUTA/Puli/Punyeto. Hiki kizazi kipya kina miili mikubwa mno unaweza ukapata majanga. Juzi nilishangaa na kuchoka, mtaani kulikuwa na sherehe za kama vigodoro wanawake na mabinti wanacheza na kutikisa makalio yao makubwa. Kumbe ni birthday ya mtoto mdogo wa Mama mmoja mpenda Shughuli, mtoto alikuwa anafikisha miaka 16, narudia ni miaka 16, nasisitiza ni miaka 16, Mungu anisamehe sana, nilichoka mno! Huyo binti wa miaka 16 ana mwili kama Sanchoka yule mwenye msambwanda Instagram. Na huyo binti kazaliwa mimi namuona, na anakuwa mimi namuona, ila msambwanda ambao ameufungasha akiwa na miaka 16 ni hatari mno.

Wanaume na wapita njia tulikuwa tunashangazwa mno.
 

Hahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…