Kyela Mbeya: Mwalimu ahukumiwa kifungo Cha miaka 30 faini laki Tano na fimbo 4 Kwa kumbaka mwanafunzi

Hivi yule Rc wa Simiyu aliyemlawiti mwanafunzi vipi!? Nikishawahi kuandika Uzi humu kuhusu haki Tanzania!! Wanyonge tuu ndio hufungwa Tanzania!!
 
Majina Huwa yanamfanya mtu aenda e na maana ya jina lake.huyu amekuwa mhanga kama jina lake lilivyo
 
Tatizo lilianza alipoamua kubadili jina la John na kujiita Juma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…