Kyela: Msiba wa Diwani wa Kata ya Nkokwa (CCM)wageuka Shubiri, Chadema yawasha moto Msibani, DC ang'atwa sikio

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mwakilishi wa Chadema kwenye Msiba wa Diwani wa Kata ya Nkokwa , amemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo kuchunguza ufisadi unaofanywa na Halmashauri hiyo .

Huku akishangiliwa na waombolezaji , Mwakilishi huyo amewatangazia wana Kyela , ujio wa Oparesheni 255 kwenye eneo hilo na kuahidi kuanika kila uchafu unaofichwa , amezungumzia bei ya Petroli na Mgao wa umeme , jambo lililozidisha simanzi kwenye msiba huo .

Jambo Muhimu ni kwamba Chadema imegawa Bahasha kadhaa zenye vitita vya Rambi rambi kwa Mwenyekiti wa ccm(wilaya) , Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo na Bahasha nyingine imepewa familia ya Marehemu.
 
Sasa huo msiba ama fursa za harakati za kisiasa ?!!! [emoji15][emoji15]

Ndagha Fijo dadangu Tuse[emoji120]
 
kuna video nahangaika kuipandisha , ukiona hii video utaelewa nguvu ya Chadema .
[emoji1787][emoji1787]
Tuse una "wahka" sana....yaani unashadadia harakati za kisiasa misibani ?!!!

Msalimie bab mkubwa mkuu wa Moravian hapo Matema [emoji120]
 
Nilikuwa natafuta taarifa ya sikio kingatwa
 
Kweli nusu mkate mbowe kaweka kwapani!

Leo chadema inakaribishwa msibani tena wa mwanaccm na maik mnapewa!!?
 
Mungu ibariki CHADEMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…