Kyela: Msiba wa Diwani wa Kata ya Nkokwa (CCM)wageuka Shubiri, Chadema yawasha moto Msibani, DC ang'atwa sikio

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mwakilishi wa Chadema kwenye Msiba wa Diwani wa Kata ya Nkokwa , amemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo kuchunguza ufisadi unaofanywa na Halmashauri hiyo .

Huku akishangiliwa na waombolezaji , Mwakilishi huyo amewatangazia wana Kyela , ujio wa Oparesheni 255 kwenye eneo hilo na kuahidi kuanika kila uchafu unaofichwa , amezungumzia bei ya Petroli na Mgao wa umeme , jambo lililozidisha simanzi kwenye msiba huo .

Jambo Muhimu ni kwamba Chadema imegawa Bahasha kadhaa zenye vitita vya Rambi rambi kwa Mwenyekiti wa ccm(wilaya) , Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo na Bahasha nyingine imepewa familia ya Marehemu.
Screenshot_2023-10-08-14-28-52-1.png
 
Mwakilishi wa Chadema kwenye Msiba wa Diwani wa Kata ya Nkokwa , amemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo kuchunguza ufisadi unaofanywa na Halmashauri hiyo .

Huku akishangiliwa na waombolezaji , Mwakilishi huyo amewatangazia wana Kyela , ujio wa Oparesheni 255 kwenye eneo hilo na kuahidi kuanika kila uchafu unaofichwa , anezungumzia bei ya Petroli na Mgao wa umeme , jambo lililozidisha simanzi kwenye msiba huo .

Jambo Muhimu ni kwamba Chadema imegawa Bahasha kadhaa zenye vitita vya Rambi rambi kwa Mwenyekiti wa ccm(wilaya) , Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo na Bahasha nyingine imepewa familia ya Marehemu .
Sasa huo msiba ama fursa za harakati za kisiasa ?!!! [emoji15][emoji15]

Ndagha Fijo dadangu Tuse[emoji120]
 
kuna video nahangaika kuipandisha , ukiona hii video utaelewa nguvu ya Chadema .
[emoji1787][emoji1787]
Tuse una "wahka" sana....yaani unashadadia harakati za kisiasa misibani ?!!!

Msalimie bab mkubwa mkuu wa Moravian hapo Matema [emoji120]
 
Nilikuwa natafuta taarifa ya sikio kingatwa
 
Mwakilishi wa Chadema kwenye Msiba wa Diwani wa Kata ya Nkokwa , amemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo kuchunguza ufisadi unaofanywa na Halmashauri hiyo .

Huku akishangiliwa na waombolezaji , Mwakilishi huyo amewatangazia wana Kyela , ujio wa Oparesheni 255 kwenye eneo hilo na kuahidi kuanika kila uchafu unaofichwa , amezungumzia bei ya Petroli na Mgao wa umeme , jambo lililozidisha simanzi kwenye msiba huo .

Jambo Muhimu ni kwamba Chadema imegawa Bahasha kadhaa zenye vitita vya Rambi rambi kwa Mwenyekiti wa ccm(wilaya) , Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo na Bahasha nyingine imepewa familia ya Marehemu .
Kweli nusu mkate mbowe kaweka kwapani!

Leo chadema inakaribishwa msibani tena wa mwanaccm na maik mnapewa!!?
 
Mwakilishi wa Chadema kwenye Msiba wa Diwani wa Kata ya Nkokwa , amemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo kuchunguza ufisadi unaofanywa na Halmashauri hiyo .

Huku akishangiliwa na waombolezaji , Mwakilishi huyo amewatangazia wana Kyela , ujio wa Oparesheni 255 kwenye eneo hilo na kuahidi kuanika kila uchafu unaofichwa , amezungumzia bei ya Petroli na Mgao wa umeme , jambo lililozidisha simanzi kwenye msiba huo .

Jambo Muhimu ni kwamba Chadema imegawa Bahasha kadhaa zenye vitita vya Rambi rambi kwa Mwenyekiti wa ccm(wilaya) , Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo na Bahasha nyingine imepewa familia ya Marehemu .
Mungu ibariki CHADEMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom