Kyerwa, Kagera: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa agoma kufungua ofisi ya TANESCO kutokana na gharama kutoendana na ujenzi uliofanyika

Binafsi naweza nikasema ni sawa kwa kile kibanda cha M7 kwa sababu
Gharama za ujenzi sass ivi zipo juu mnoo
Kama una experience ya ujenzi wa sasa utaelewa tub
Alafu ujenzi wa serikali una formalities ngumu zonazoongeza cost. Hapo alitafutwa Mkandarasi, mchoro ulitolewa kwa zabuni, viongozi kukagua kila hatua au consultant n.k
 
Alafu ujenzi wa serikali una formalities ngumu zonazoongeza cost. Hapo alitafutwa Mkandarasi, mchoro ulitolewa kwa zabuni, viongozi kukagua kila hatua au consultant n.k
Hawaelewi watu
 
Hilo jengo inategemea wamjenga kwa mfumo upi?kama niwa kumpa mkandarasinlazima hizo Ifuke..Hqrfu tofauri walaza siyo kama sisi tunasikamisha..harafu ratio ya tofari ni tofuati na hizi za kwetu..na pia kuna VAT ...

Kam kunaufisadi basi angalia labda fence na kijumba cha mlinzi lakini jengo jingine na kama kunavat ,,naamini hizo gharama hazijazidi sana
 
Tuweke pembeni maswala yote lakini vizuri vina gharama ifike mahala lazima tuambiane ukweli!!!
 
Wewe uliyesema ....tutakukumbuka...tena kwa mazuri...
Hakika tutakukumbuka... Upumzike kwa amani uko uliko....
Naskia mwangi unaniambia watu wangewajibishwa haraka sana...hofu ingetanda,roho ingekuwa juu juu baada ya kukataliwa ufunguzi.
 
Bora tuu hizi pesa tule wote maana wanasiasa wanaongoza kula mema ya nchi. Ilitakiwa jengo lijengwe ata 1biliyoni
Lakini tulishakubaliana Mama alete pesa mtaani kwa njia yoyote ile! Subiri na posho za Watumishi walio safiri na Mama kutoka US wakirudi nazo zitamwagikaa mtaani!!
 
Mambo ya serikali ukiyachunguza sana utapata ugonjwa wa moyo kabisa,haya mambo kila siku yanajirudia sana
 
Mmmh...hao hawajui kuiba...watuonyeshe finishing ya ndani..pengine wameweka horizontal lift hakuna kutembea ukiwa ndani
 
Uchunguzi ufanyike na hatua zichukuliwe,serikali iwe makini na vitu kama hivi,haihitaji mpaka waziri mkuu ndio aende akagundue,viongozi wengine wa chini yake wapo wanafanya nini?tusitegmee tumbua tumbua itakuja kwisha kwa mambo kama haya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…