Alafu ujenzi wa serikali una formalities ngumu zonazoongeza cost. Hapo alitafutwa Mkandarasi, mchoro ulitolewa kwa zabuni, viongozi kukagua kila hatua au consultant n.kBinafsi naweza nikasema ni sawa kwa kile kibanda cha M7 kwa sababu
Gharama za ujenzi sass ivi zipo juu mnoo
Kama una experience ya ujenzi wa sasa utaelewa tub