Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Lakini tulishakubaliana Mama alete pesa mtaani kwa njia yoyote ile! Subiri na posho za Watumishi walio safiri na Mama kutoka US wakirudi nazo zitamwagikaa mtaani!!
Wao wana telezaa na force account, lkn sasa bado materials ni bei ghali.Alafu ujenzi wa serikali una formalities ngumu zonazoongeza cost. Hapo alitafutwa Mkandarasi, mchoro ulitolewa kwa zabuni, viongozi kukagua kila hatua au consultant n.k
Hii ndio nchi yetu ambayo inajali wananchi na kuwasogezea huduma. Hili ni jengo la Tanesco lenye thamani ya milioni 408. View attachment 1946723
Hahaha ndio hilo waziri mkuu amegoma kuzindua?
Binafsi naweza nikasema ni sawa kwa kile kibanda cha M7 kwa sababu
Gharama za ujenzi sass ivi zipo juu mnoo
Kama una experience ya ujenzi wa sasa utaelewa tub
Hapo mbona Kama shinyanga kishapu
Hata iweje hiyo gharama sio halisiHawaelewi watu
Hata 150M ni nyingi,mie ukipa 70M nakufyatulia jengo kama hiloBox mia na nusu inatosha .[150m]
Hatukatai wamepiga ila sio kivile😀😀😀Hata iweje hiyo gharama sio halisi
Nawapongeza sana hao waliohusika hapo!Yaani ukiona gharama za kununua umeme ukiongezeka jua ni upigaji umeongezeka sio maendeleo...
Bati za hiko kibanda ni mil 2.5?? Acha hizo aisee. Alaf bati za migongo mipana ni 38000 kwa gage 30, na gage 28 ni 42000Wao wana telezaa na force account, lkn sasa bado materials ni bei ghalii. Hao wanao shangaa huenda ikawa hawafuatilii ujenzi wa sasa...
Acha uongo na ujinga. Mimi ni mkandarasi niliyeshindikana.Binafsi naweza nikasema ni sawa kwa kile kibanda cha M7 kwa sababu
Gharama za ujenzi sass ivi zipo juu mnoo
Kama una experience ya ujenzi wa sasa utaelewa tub
Hebu twende taratibu kwenye hili. Mimi ni contractor na bado hadi sasa nafanya kazi za kujenga shule.Gharama za kawaida sana, nashangaa wanaoona eti gharama ni kubwa, hao wanaoona gaharam nu kubwa wao wanajengewa na sio wanajenga wenyewe kwa fedha zao.
Mbona kaandika hapo chumba cha walinzi milion 7 auMbona haujaweka kile kibanda cha million saba ?
Hii ndio nchi yetu ambayo inajali wananchi na kuwasogezea huduma. Hili ni jengo la Tanesco lenye thamani ya
Mkurugenzi wa Tanesco ndiye shida na siyo vinginevyaHii ndio nchi yetu ambayo inajali wananchi na kuwasogezea huduma. Hili ni jengo la Tanesco lenye thamani ya milioni 408.
--
Mchanganuo wa gharama zilizotumika kujenga ofisi ya TANESCO Wilaya ya Kyerwa, Kagera ambayo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekataa kuifungua (TZS):
1. Chumba cha walinzi: Milioni 7
2. Uzio: Milioni 94.2
3. Jengo la ofisi: Milioni 253.8
4. Stoo: Milioni 51.55.
View attachment 1946973
Jengo la walinzi lililogharimu Tzs Milioni 7.3
View attachment 1946974
View attachment 1946723
View attachment 1946961