Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Lakini tulishakubaliana Mama alete pesa mtaani kwa njia yoyote ile! Subiri na posho za Watumishi walio safiri na Mama kutoka US wakirudi nazo zitamwagikaa mtaani!!
Tushiriki tuu kwenye ku enjoy nchi kila mmoja,