Kyerwa, Kagera: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa agoma kufungua ofisi ya TANESCO kutokana na gharama kutoendana na ujenzi uliofanyika

Wao wana telezaa na force account, lkn sasa bado materials ni bei ghali.

Hao wanao shangaa huenda ikawa hawafuatilii ujenzi wa sasa...
Acha uongo...hizo dirisha aluminium ndio ziwe 3mil?r u serious?
 
Bati za hiko kibanda ni mil 2.5?? Acha hizo aisee. Alaf bati za migongo mipana ni 38000 kwa gage 30, na gage 28 ni 42000
Kwa gage 28 hiyo mil 2.5 ni sawa na bati 60....
Nakubaliana nawe
 
Sasa mnashangaa kibanda cha milioni 7 wakati kuna vidume vilijenga daraja la miti kwa milioni 31 na kusema lina uwezo wa kuhimili uzito wa mpaka tani 10.

Kwa bongo kila kitu ni kivutio cha utalii. Hii ndio nchi pekee unaweza uziwa kinyesi chako mwenye kwa mamilioni ya pesa na ukapewa mchanganuo kabisa wa kisomi wa kuhalalisha hayo mamilioni.

 
Wewe na familia yako mlifanya sherehe JPM kufa leo mnalialia nini sana,chini ya JPM haya yasingetokea

USSR
Tukikuambia kimejengwa enzi za mwendaji utakuwa tayari kuomba radhi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…