Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo...hizo dirisha aluminium ndio ziwe 3mil?r u serious?Wao wana telezaa na force account, lkn sasa bado materials ni bei ghali.
Hao wanao shangaa huenda ikawa hawafuatilii ujenzi wa sasa...
Nakubaliana naweBati za hiko kibanda ni mil 2.5?? Acha hizo aisee. Alaf bati za migongo mipana ni 38000 kwa gage 30, na gage 28 ni 42000
Kwa gage 28 hiyo mil 2.5 ni sawa na bati 60....
🇹🇿🇹🇿Acha uongo...hizo dirisha aluminium ndio ziwe 3mil?r u serious?
Nyie Chadema nilijua tu mtabishaDaah!!
Mungu mbariki mjenzi!Ni kibanda cha Mlinzi kwenye ofisi ya Tanesco Wilaya ya Kyerwa , Mkoani Kagera
View attachment 1948521
Aaaahaaa , basi ni kweeeeliNi bulletproof
DU HUU NI WIZI WA BILA MAHESABUNi kibanda cha Mlinzi kwenye ofisi ya Tanesco Wilaya ya Kyerwa , Mkoani Kagera
View attachment 1948521
Wewe na familia yako mlifanya sherehe JPM kufa leo mnalialia nini sana,chini ya JPM haya yasingetokeaNi kibanda cha Mlinzi kwenye ofisi ya Tanesco Wilaya ya Kyerwa , Mkoani Kagera
View attachment 1948521
Basi sawa.Ni kibanda cha Mlinzi kwenye ofisi ya Tanesco Wilaya ya Kyerwa , Mkoani Kagera
View attachment 1948521
Tukikuambia kimejengwa enzi za mwendaji utakuwa tayari kuomba radhi ?Wewe na familia yako mlifanya sherehe JPM kufa leo mnalialia nini sana,chini ya JPM haya yasingetokea
USSR