Kylian Mbappe dhidi ya Gadiel Michael, tubadilike Watanzania

Nadhani ingekuwa vyema kujadili Yanga iliyofanya usajili wa pesa nyingi halafu bado wachezaji wake hawana performance ya wachezaji wa Simba yenye first 11 iliyojaa wenyeji zaidi.
Simba hii ambayo akikosekana mchezaji mmoja tu inakosa ushindi ndo unaifananisha na Yanga
 
Waacheni hivyo hivyo na ujinga wao
 
Ushirikina unaendekezwa na watu kama nyinyi ambao mnauamini.
 
Ndio maana nasisitiza tujikite tu sekta ya mapenzi kwingine kote tumefeli. Tuendelee kuenzi mizigo mzee mwenzangu.
 
Haya ukitoa huyo gadiel. Mchezaji yupi hapa bongo amefikia walau level za bukayo saka ukiachana na uyo mbape
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…