Leo tumewafunga coast 3-0
Ni offside?
Bahasha?
Penati?
Mara zote hizi tumewafunga nyie simba kuanzia Ngao
Ni offside?
Ni bahasha?
Penati?
Club africaine ya tunisia tuliifunga kwao
Ni offside?
Ni bahasha?,
Ni penati?
Jamani fanyeni sajili za kutulia hapo ndio mnapokoseaga na hata sasa mmejiingiza kwa saidor mmeshapotea,kwani hamna scouting ya nguvu⁸
Yaani nyie mnaokotezaga tu wachezaji baadala ya kukaa na kupanga na kutoka nje ya nchi..masubiria tu mara Akpan,mara Kibu,mara Deejan na sasa Saidor...mchezaji ambaye bado ana mapenzi na wananchi kwa kauli yake mara ya mwisho,mna hakika atajitoa 100% siku tukikutana? Mnafeli sana nyie kwenye sajili
Sent from my SM-A205F using
JamiiForums mobile app