la aziz nipigie...

la aziz nipigie...

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
hiii nyimbo imetulia...
huyu dogo na Stara T
wameipatia hii nyimbo au mnaonaje........????
 
hii nyimbo naipenda peke yangu naona....
 
hapana tupo wengi tunaoipenda...kwa kweli ina mashiko Stara kainogesha vizuri
 
Ni noma Stara yuko fiti sana nasikia ndio katunga sehemu kubwa ya wimbo
 
Tuwekeeni hapa basi na sisi ´tuisikie wajameni.
 
Waweza hata kuiangalia na family yako haina mambo ya mauno mauno na nusu uchi
 
haina maana kwa jamii, ni midundo tu. Nafikiri walijali sana midundo si kuelemisha jamii.
Sorry kama nimebore but that is the reality.
 
haina maana kwa jamii, ni midundo tu. Nafikiri walijali sana midundo si kuelemisha jamii.
Sorry kama nimebore but that is the reality.
Nafikiri uliisikiliza kwa mashaka mashaka, jamaa yuko job, anapata story anawaza akampigie my wife wake! Its cool, inamaanisha your wife/hubby is supposed to be a good friend of yours as well. Mi nafikiri wamewakilisha mapenzi kwa wakubwa (acha zile za nakupenda, nitakununulia gari etc).
 
haina maana kwa jamii, ni midundo tu. Nafikiri walijali sana midundo si kuelemisha jamii.
Sorry kama nimebore but that is the reality.
Wwe tu hujaona.Lakini inaelimisha sana tu.
kwamba mme na mke wawe na mawasiliano ya karibu na wawe kama marafiki.
Sio mume na mke wananuniana.Mume akitoka kazini ndio kwanza anaishia Bar hana hata hamu na mkewe kurudi saa saba.
 
mie nasikia tu nipigie la aziz nipigie ..story sijaipata bado vizuri
midundo na sauti iko poa message kwa wife and husb( wapenzi )
 
Back
Top Bottom