Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Adui mkubwa wa Mtanzania ni CCM na katiba ya mwaka 19771. Tule tunywe tufurahi , la CAG limeisha , bahari imetulia. Walioiba wanapanga miradi gani wawkeze, zizae maisha yaendelee wao na wanao wahusu.
2. Mama Amemaliza kila kitu kwa neno moja tu
STUPID
Mama Kasema STUPID au NONSES?1. Tule tunywe tufurahi , la CAG limeisha , bahari imetulia. Walioiba wanapanga miradi gani wawkeze, zizae maisha yaendelee wao na wanao wahusu.
2. Mama Amemaliza kila kitu kwa neno moja tu
STUPID
Na tunao watu chungu nzima hapa, wanataka miaka mitano au zaidi ya namna hii.1. Tule tunywe tufurahi , la CAG limeisha , bahari imetulia. Walioiba wanapanga miradi gani wawkeze, zizae maisha yaendelee wao na wanao wahusu.
2. Mama Amemaliza kila kitu kwa neno moja tu
STUPID
Kuweni wakweli jameni.Mama kasema STYUPID madhafakaz
Hizo ni hisia zako tu. Rais Samia anatafuta hela za halali na ni nyingi kweli kweli.Katika Nchi yetu kuna Rais anatafutaaaaaaaa halafu kuna Rais mwingine anakuja kutumia tuuu. Nyerere alitafutaaaaa Akaja Ruksa akala vyoooote mpaka Nchi ikawa fukara. Akaja Mkapa akaisuka weeeeee kibubu kikatuna.
Akaja Mishen Town akafujaaaaaa na Ufisadi mkubwa mnooo wa EPA, RICHMOND, ESCROW, MEREMETA nk nk nk yaaani Nchi ikawa tambala bovu.
Huo Upigaji SGR ingetoka Dar Mpaka South Afrika.
Akaja Bulldozer akajenga Nchi kila mwenye macho haambiwi tazama historia ikaandikwa tokea Nyerere Watanzania wakasema sasa wamepata Kiongozi.
Sasa tulipo ni Awamu ya WAZURI HAWAFI kwa Utamu wa Kulamba asali. NO MISSION NO VISSION kila jambo HILI NALO MKALITIZAME hoja za CAG zimeonyesha matobo ya hatari. Ukwapuaji wa Mali za Nchi uko FULL GEAR
Asali haijawahi kumuacha mtu salama!1. Tule tunywe tufurahi, la CAG limeisha bahari imetulia. Walioiba wanapanga miradi gani wawkeze, zizae maisha yaendelee wao na wanao wahusu.
2. Mama Amemaliza kila kitu kwa neno moja tu la stupid.
nani kala asali kwa ya CAGAsali haijawahi kumuacha mtu salama!
wewe ni chawa mfuHizo ni hisia zako tu. Rais Samia anatafuta hela za halali na ni nyingi kweli kweli.
Ndiyo maana anaweka fedha nyingi sana kwenye kilimo, ujenzi wa madarasa na kwenye maslahi ya watumishi wa umma.
Haya mambo matatu tu serikali ya awamu ya tano ilishindwa kuwafanya kwa miaka sita.
Jamaa kama hujui mambo jifunze kwanza kabla kutoa lawama suala la repoti ya cag lina utaratibu wake1. Tule tunywe tufurahi, la CAG limeisha bahari imetulia. Walioiba wanapanga miradi gani wawkeze, zizae maisha yaendelee wao na wanao wahusu.
2. Mama Amemaliza kila kitu kwa neno moja tu la stupid.
utaratibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!Jamaa kama hujui mambo jifunze kwanza kabla kutoa lawama suala la repoti ya cag lina utaratibu wake
Hakuna RAIS anayetafuta tu na anayetumia tu....mtazamo wako huwenda usiwe na uhalisia hata chembe......Katika Nchi yetu kuna Rais anatafutaaaaaaaa halafu kuna Rais mwingine anakuja kutumia tuuu. Nyerere alitafutaaaaa Akaja Ruksa akala vyoooote mpaka Nchi ikawa fukara. Akaja Mkapa akaisuka weeeeee kibubu kikatuna.