La CAG limeisha, maisha yanaendelea. Wapigaji wanawekeza kwenye miradi yao, Bahari imetulia. Nchi hii ngumu sana

Kwa neno moja tu, nchi imetulia, bahari ipo shwari, maisha yanasonga.

Neno moja tu, STUPID!
Nchi ya watu wa HOVYO sana hii.
 
Kuna vitu hujui mzee, Mwinyi unaweza kusema alikula nn?
Mwinyi amekuta nchi hii baadhi ya maeneo hata chumvi tu hakuna na Kuna sehemu watu wanavaa magunia
 
Ofisi ya CAG ina utaratibu waliojiainishia.....kazi inaendelea.....
 
Id yako pekee inatambulisha kwamba kichwani umejaza kamasi badala ya akili. Sitaki kubishana na pipa tupu
 
Position ya CAG ni useless miaka yote sio Sasa. Ripoti ya CAG huwa inampa CAG mwenyewe 15mins of fame zikiisha maisha yanaendelea imekua hivyo miaka yote na itaendelea hivyo.
 
1. Tule tunywe tufurahi, la CAG limeisha bahari imetulia. Walioiba wanapanga miradi gani wawkeze, zizae maisha yaendelee wao na wanao wahusu.

2. Mama Amemaliza kila kitu kwa neno moja tu la stupid.
sio kila hoja watu wamepiga hela mkuu. Nyingine ni kukosekana baadhi ya vielelezo tu wakati wa ukaguzi.
 
😅😅😅😅😅 Punguzeni makasiriko,nyie wajinga wa kuchanganua Mambo ndo mmetufikisha hapa shwaini.
Ningekuona wa maana,Kama ungegusia kilio Cha wengi na Cha msingi KATIBA MPYA,
halafu kuwakanya hai KIJANI.
Kwa not miaka nenda Rudi ni wao,huoni Kama hapo Kuna shida.

Akili zenu Kama SENENE,anaficha kichwa alafu huku ......
Usoni wako haujakusaidia kitu,
Dira yenu mbovu tu.
Hamnaga machungu na Nchi Bali mfumo umekuacha nje.
Unatutajia Marais wote wa chama Cha mapinduzi,huna hata aibu.
Mbafu Sana weye,

Acha wale tu hakuna namna niwenzako.
Ukimaindi fresh tu🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩tushawachoka dizaini ya Akina MSIBA.

So,Mama mwacheni washenzi nyie.yuko vizuri Hanaga makasiriko.
Msikilizeni ROMA MKATORIKI.
NAPIGA gambe hapa nipo 'NZII".
 
sio kila hoja watu wamepiga hela mkuu. Nyingine ni kukosekana baadhi ya vielelezo tu wakati wa ukaguzi.
Kwa hiyo vielelezo vikikosekana assumption ya kwanza kichwani kwako ni nini?

Yaani mradi wa ujenzi fulani unakosa vielelezo kadhaa utasema walisahau, walivichoma moto, walizembea au utasemaje?

Acheni kutetea ujinga wakuu.
 
Mama hana makucha
Mafisadi wanaitafuna hii nchi bila kunawa anaishia kuwagambila Stupid mbele ya my wife
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…