La Candidate Tamthilia Bomba Sana Inayoonyeshwa na Azam One TV

La Candidate Tamthilia Bomba Sana Inayoonyeshwa na Azam One TV

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
9,753
Reaction score
10,747
Ni Tamdhilia ya Mexico, inamagwiji wenyekujua uhusika wao kwa kiwango cha juu.

Siasa, Misukosuko ya familia, Mahisiano hapa ndipo mahali pake.

Gavana Alonso, Seneta Martnez, Mzee wa Mujini Romario, Tajiri Escalante, Seneta Regina Mke wa Gavana Alonso, Igancio,Xmina na Emiliano hawa waifanya tamdhilia imekuwa ya kiwango cha juu sana.

Take your time to watch it, utakuja kunishukuru baadaye.
 
Back
Top Bottom