La chaaz pub Sinza - Mori

La chaaz pub Sinza - Mori

Man Mvua

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2016
Posts
2,183
Reaction score
3,521
Weekend hii nilikuwepo Mori Sinza pale la chaaz pub kuna mambo yamenishangaza kwa kweli hasa haya yafuatayo :

1. Utitiri wa wanawake wanaojiuza la chaaz pub pamoja na uzuri wao wote bado wanashindwa kuolewa isipokuwa option ya kujiuza.

2. Muda niliokuwepo hapa sijamuona mtu mzima wote ni vijana 24-45. Je watu wazima ndio walikuwa wapiga dili peke yao?? Vijana wao bado mambo mazuri,,!??

3. Hawa gentlemen wanao wachukua Hawa wakina dada ina maana hawajaoa ???? Maana kwa makamo yao (35-45) imenitia mashaka sana.

4. La chaaz pub sio siri kuna watoto Wazuri sana, naona wanaowachukua wote Wana magari, sasa mimi niliyekuja na bodaboda nishajawa na hofu.....

5. Jamani karibuni bata batani le Sinza Mori.

.............
 
Jana nilikuwapo mahala pale.. Kuna mhudumu nimzuri sijapata kuona chini ya jua nimerudi kujiandaa leo namuibukia
 
wewe mtoto wa chalesi lipia hili tangazo la hiyo pub yenu
 
Jana nilikuwapo mahala pale.. Kuna mhudumu nimzuri sijapata kuona chini ya jua nimerudi kujiandaa leo namuibukia
Yule kama mnyarwanda? Weusi wa Ku gaa ngozi ya kuteleza?
 
Mzee unakula raha tu.
Ile sehemu sijui jamaa karoga, maana ukipita mara ya kwanza ni pa hovyo, Ila ukipazoea hata mara tatu inakuwa ni hatari fire


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom