Kabisa...hakuna ukweli wowote kwenye hii hadithi ya kutungaNi vita ya biashara, huyu ana lengo la kumuharibia mwenzake biashara
Mtoa mada ndo kasemanan kasema la chaaz ipo mapambano? utakua umenichanganya
Oooh sawa MadameMtoa mada ndo kasema
naona unanibeepMwandiko kama rayyoungr
Mkuu
are you sure wewe sio miongoni mwa makaka poa?
Huwa sibeepnaona unanibeep
sawaHuwa sibeep
Acha uongo ww kilazasinza shule ya msingi mapambano ....,nyt utakuta magari makali hatar
La chalz haipo mapambano ipo sinza mori kama unakwenda wanyama hotelHicho kijiwe nakifahamu sio kizuri hata kidogo nafikiri hata mwenye bar ni shoga au lesbian
....na wewe ni shoga?La chalz haipo mapambano ipo sinza mori kama unakwenda wanyama hotel
hahaha ..,noma sana man kusema acha uongo sio tatizo wala sio kesi ila kuweka neno kilaza umekunya manAcha uongo ww kilaza
Babako Ndio shoga! !!....na wewe ni shoga?
Mbona unaandika kama James Delicious, so ndio washindani wenu hao?Ukimuonaa mwanaume anapendaa saana kwenda la chalz sinza ujue naye ni mtumiaji wa mtandao wa goti manake pale ndo soko lao kuu zamani ilijulikana kama lavico .....So kuwa makini sio kilaa bar ya kuingiaa mjini ukienda pale kwa waanaojuaa wanajua kuwa ww ndo wale wale usishngae unafatwaa uanze kutukana tukana ovyo ndo bucha lao lili.....!!
...teh hee hee.,hujajibu swali;narudiaBabako Ndio shoga! !!
Ila Madam B Wezere lako siku hizi limenywea kama puto siku hizi, kulikoni?Mtoa mada ndo kasema