La Chalz Sinza, ni Kijiwe cha makaka poa

aiseee kweli sinza kumeoza, wakazi wa hayo maeneo wanakazi ya ziada
 
m sipend kabisa hizi mambo
sipiti tena njia iyo
 
Wewe una stress tu. Una haribu biashara ya bar ya MTU kwa fikra zako za kipuuzi. Kwani ww ulijuaje kama hujawah kwenda.
nimeharibuje na umetumia strateg gan kujua kuwa nimeharibu labda kama nimewaongezea wateja je??
 
Sisi wakazi wa huku hatuoni hayo mambo... Foreigners ndo mnakuja kutuletea story zenu. Kutuchafua tu tusinywe bia kwa raha tukijishtukia kufatwa na machoko! Kha
una ela ya kunywa bia ww hebu tusichoshane hapaaaa labda kwenye vijiwe vya kahawa nyie ndo mnaojaza mabar ya watu kucheza cheza tu
 
Pale kuna madem wazuri balaa huku mtaani huwa hawaonekani
 
Wanasema Mmiliki ni CH wa Azam Tv!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…