Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hio na wewe umeamua kumuamini mleta mada?aiseee kweli sinza kumeoza, wakazi wa hayo maeneo wanakazi ya ziada
nimeharibuje na umetumia strateg gan kujua kuwa nimeharibu labda kama nimewaongezea wateja je??Wewe una stress tu. Una haribu biashara ya bar ya MTU kwa fikra zako za kipuuzi. Kwani ww ulijuaje kama hujawah kwenda.
nimeijuaa kwa kuwa nimenyewaaasifiae mvua imenyea!umejuaje yooote hayo?
una ela ya kunywa bia ww hebu tusichoshane hapaaaa labda kwenye vijiwe vya kahawa nyie ndo mnaojaza mabar ya watu kucheza cheza tuSisi wakazi wa huku hatuoni hayo mambo... Foreigners ndo mnakuja kutuletea story zenu. Kutuchafua tu tusinywe bia kwa raha tukijishtukia kufatwa na machoko! Kha
hahahaha tak it or leav it......Kwa hio na wewe umeamua kumuamini mleta mada?
Naomba uwe mwenyeji wanguaisee yaan ww kwahyo na sisi ni madada poa tunaoenda kunywa
umeshapewa location we nenda tu huwezi poteaNaomba uwe mwenyeji wangu
tehe tehe tehe tehe teheKwa hio na wewe umeamua kumuamini mleta mada?
001O1QLPale kuna madem wazuri balaa huku mtaani huwa hawaonekani
Ila kauzu. Hukopeshi!Mwandiko kama rayyoungr
Mkuu
are you sure wewe sio miongoni mwa makaka poa?
Mori. Chukua njia ya WANYAMA HOTEL, ipo kushoto kabla ya WANYAMA HOTELIko sinza ipi mkuu nije nikusalimie?
Ahsante.Jerry Josh na ray younger = fraternal twins
Toeni basi mchanganuo wa bei elekezi