Napakumbuka sana. Nishakuja mara mbili tatu night kali sijakuona.umepasahau?.....
full kujiachia siku hizi,ushindwe wewe tu 24hrzha ha ha nitakuja siku uko kumbe mpk live band inapiga pale kuna mtu jana nilikua nae akaniambia hbr za pale
haa ahahaaisee yaan ww kwahyo na sisi ni madada poa tunaoenda kunywa
Mkuu hiko kijiwe kiko pande zipi mbona mm ckijui? Hebu toa location yake fasta.Ukimuonaa mwanaume anapendaa saana kwenda la chalz sinza ujue naye ni mtumiaji wa mtandao wa goti manake pale ndo soko lao kuu zamani ilijulikana kama lavico .....So kuwa makini sio kilaa bar ya kuingiaa mjini ukienda pale kwa waanaojuaa wanajua kuwa ww ndo wale wale usishngae unafatwaa uanze kutukana tukana ovyo ndo bucha lao lili.....!!
nikukute hapo leoMori. Chukua njia ya WANYAMA HOTEL, ipo kushoto kabla ya WANYAMA HOTEL
nitakuja siku moja kwenye kiwanja chakofull kujiachia siku hizi,ushindwe wewe tu 24hrz
acha tu yaan sasa hvi kila sehemu utaambiwa kuna wanaojiuza na sisi je twende wapi kulewahaa ahaha
Sawa, usichelewe sasa, si unaona wanasema kuna michicha mwiba, sitaki wanletee mapichapicha!nikukute hapo leo
kubanana humo humo inabidi weekend hii nipite nikakague .. nina muda sijapita hapo na nitaka mpaka usiku kabisaacha tu yaan sasa hvi kila sehemu utaambiwa kuna wanaojiuza na sisi je twende wapi kulewa
poa leo siende tena sarenda kuangalia zile vituSawa, usichelewe sasa, si unaona wanasema kuna michicha mwiba, sitaki wanletee mapichapicha!
bwabwaNdo akina nani ao makaka poa???
you are wellcomenitakuja siku moja kwenye kiwanja chako
Haaa. Haaa. Haaaa, ila kama hao wa kwako, wapo na huku University road, asubuhi na jioni, tena wenyewe wanavaa na yale maspika makubwa ya sikioni au earphone, basi hata ukitaka kumgonga, ukipiga honi hawasikii!poa leo siende tena sarenda kuangalia zile vitu
Rafiki mambo?aisee yaan ww kwahyo na sisi ni madada poa tunaoenda kunywa