La Chalz Sinza, ni Kijiwe cha makaka poa

La Chalz Sinza, ni Kijiwe cha makaka poa

Vijana wa kisasa mna maneno kutu sana...[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Yaani sikua nime elewa lolote alilo andika mleta uzi hadi baada ya kudadavu comments kadhaa, ndipo nikajikuta nina ng'amua maana nzima ya uzi huu....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12].
 
Ngoja nimtume mtu akapige kambi aniletee feedback kabla sijazama kuwaopoa
 
Ukimuonaa mwanaume anapendaa saana kwenda la chalz sinza ujue naye ni mtumiaji wa mtandao wa goti manake pale ndo soko lao kuu zamani ilijulikana kama lavico .....So kuwa makini sio kilaa bar ya kuingiaa mjini ukienda pale kwa waanaojuaa wanajua kuwa ww ndo wale wale usishngae unafatwaa uanze kutukana tukana ovyo ndo bucha lao lili.....!!
Mkuu hiko kijiwe kiko pande zipi mbona mm ckijui? Hebu toa location yake fasta.
 
acha tu yaan sasa hvi kila sehemu utaambiwa kuna wanaojiuza na sisi je twende wapi kulewa
kubanana humo humo inabidi weekend hii nipite nikakague .. nina muda sijapita hapo na nitaka mpaka usiku kabisa
 
Labda siku za karibuni. Nimeshakaa pale na rafiki kadhaa palikuwa kawaida. Nilipenda mno makange yake ya kuku kwa chipsi. Sijawahi ona utengenezaji kama ule.
 
poa leo siende tena sarenda kuangalia zile vitu
Haaa. Haaa. Haaaa, ila kama hao wa kwako, wapo na huku University road, asubuhi na jioni, tena wenyewe wanavaa na yale maspika makubwa ya sikioni au earphone, basi hata ukitaka kumgonga, ukipiga honi hawasikii!
 
Back
Top Bottom