miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
dah hawa wanao toka posta ni motoHaaa. Haaa. Haaaa, ila kama hao wa kwako, wapo na huku University road, asubuhi na jioni, tena wenyewe wanavaa na yale maspika makubwa ya sikioni au earphone, basi hata ukitaka kumgonga, ukipiga honi hawasikii!
pita ni pazuri sanakubanana humo humo inabidi weekend hii nipite nikakague .. nina muda sijapita hapo na nitaka mpaka usiku kabisa
sa na wewe hata tu picha tu wili huna, just for optical nutrition!dah hawa wanao toka posta ni moto
poa poapita ni pazuri sana
poa rafiki miss uRafiki mambo?
nafanyia kazi hilo aiseesa na wewe hata tu picha tu wili huna, just for optical nutrition!
Fanya hivo bana! wewe unafanyia wapi jogging?nafanyia kazi hilo aisee
mi sijaanza badoFanya hivo bana! wewe unafanyia wapi jogging?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] !aisee yaan ww kwahyo na sisi ni madada poa tunaoenda kunywa
Missing you more rafiki![emoji8] [emoji8] [emoji8]poa rafiki miss u
Bora hata ya wewemi sijaanza bado
Inawezekana weekend hii WanaJF wengi watapiga kambi eneo lile, wacha nifanye utaratibu huenda tukaonana na.....kubanana humo humo inabidi weekend hii nipite nikakague .. nina muda sijapita hapo na nitaka mpaka usiku kabisa
Hao ma handsome ndio kaka poa wenyewe usikutehata mie mara zote nazoendaga sijawahi ona wakaka poa..........labda wadada warembo na wakaka handsome basi.
kwa kweli ila inabidi nianze mchakatoBora hata ya wewe
karibu mkuu me lazima niwepoInawezekana weekend hii WanaJF wengi watapiga kambi eneo lile, wacha nifanye utaratibu huenda tukaonana na.....
ukianza niambie, tuwe pamoja!kwa kweli ila inabidi nianze mchakato
mbona umepotea hivi rafikiMissing you more rafiki![emoji8] [emoji8] [emoji8]
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji28] [emoji28] [emoji28] !