miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
dah hawa wanao toka posta ni motoHaaa. Haaa. Haaaa, ila kama hao wa kwako, wapo na huku University road, asubuhi na jioni, tena wenyewe wanavaa na yale maspika makubwa ya sikioni au earphone, basi hata ukitaka kumgonga, ukipiga honi hawasikii!