La Chalz Sinza, ni Kijiwe cha makaka poa

na ninaona watu wanaokunywa ni watu wenye akili zao sijui lkn kila mtu na anavyoona labda sbbu mm naingiaga mida ya usiku sana
Mtoa mada naona kachanganya madesa.
Huyu nadhani anasema Waungwana na si La Chaaz, La Chaaz wala hakuna makaka po.
Makaka poa wakp Waungwana na Igo bar
 
nyama ya kuku, mbuzi , samaki inaungwa fulani na pilipili
Zinachanganywa zote kwa pamoja? [emoji15] [emoji15] [emoji15] radha gani sasa ndo inatokea? Aisee jmos natafuta hilo chimbo miss chagga unipokee
 
Zinachanganywa zote kwa pamoja? [emoji15] [emoji15] [emoji15] radha gani sasa ndo inatokea? Aisee jmos natafuta hilo chimbo miss chagga unipokee
karibu .. hazichanganywi zote unaweza kuagiza makange ya kuku, ya samaki , ya mbuzi au ya ng'ombe
 
na ninaona watu wanaokunywa ni watu wenye akili zao sijui lkn kila mtu na anavyoona labda sbbu mm naingiaga mida ya usiku sana
I also see the same....zamani walikuwa kama watu fulani wanajuana kila siku wanakutana hapo...sijui maana times change au ndio mtu wa Igo Lounge amekuja kivingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…