La Chalz Sinza, ni Kijiwe cha makaka poa

I also see the same....zamani walikuwa kama watu fulani wanajuana kila siku wanakutana hapo...sijui maana times change au ndio mtu wa Igo Lounge amekuja kivingine.
uyu anaweza akawa ana share na igo kaja kuharibu biashara ya watu
 
muwe mnakuja mjini hata mara moja kwa mwezi la sivyo utasimuliwa vingi
Nilikuwa nataka kujua maana ya m akange ya kuku sijui ni kiungo gani na kwenye kiswahili sijawahi kusikia hili neno anyway karbu Upanga
 
Ni vita ya biashara, huyu ana lengo la kumuharibia mwenzake biashara
 
We jamaa mwongo na nawaswasi utakua umekuja Dar siku zahv karibun .. pale kila weekend natiaga timu ila sijawahi onaga huo upupu
 
Makubwa
 
inawezekana Madame B
Hata sasa niko La Chaaz.
Hapa hakuna makaka poa.
Halafu Chaaz haipo Mapambano, iko Mori..
Waungwana bar ndo iko Mapambano pamoja na bar kama 2 ambazo ndizo hizo zina makakapoa na hata mmiliki wake ni shoga.
Nahisi huyu ndo atakuwa anazisemea hizo
 
Hata sasa niko La Chaaz.
Hapa hakuna makaka poa.
Halafu Chaaz haipo Mapambano, iko Mori..
Waungwana bar ndo iko Mapambano pamoja na bar kama 2 ambazo ndizo hizo zina makakapoa na hata mmiliki wake ni shoga.
Nahisi huyu ndo atakuwa anazisemea hizo
nan kasema la chaaz ipo mapambano? utakua umenichanganya
 
Itakuwa mteja mzuri sana wewe
 
Ni vita ya biashara, huyu ana lengo la kumuharibia mwenzake biashara
Nikishamwaribiaa nipate nn mimi ndo ninayejuaaa....Hao mnao waonaaa mahb sio wenzenu hamjiulizi mbonaa bar ina mahandsome kibao mnadhani wanakujaga kushindana uzur pale??ulizaa uambiweee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…