Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Leo imetokea nimekikumbuka tu hiki kiwanja....nimejirusha sana pale na kuchukua totoz kibao. Wadau mnakikumbuka lakini hiki kiwanja? Kuna alumni wowote hapa? Huenda tukakumbukana....let's share some memories