LA Lakers visit President Obama...Pics

LA Lakers visit President Obama...Pics

Peasant,

..ninachosema mimi ni kwamba ile occassion ya White House ilikuwa ni maalum kwa ajili ya Los Angeles Lakers.

..pale hapakuwa mahali pa Raisi Obama kuanza kulinganisha kwamba Phil Jackson kocha wa La Laker ana championships 6 alizopata na Chicago Bulls na 4 kutoka La Lakers.

..pia hapakuwa mahala pa kuanza kuwakweza Chicago Bulls na theatrical and unnecessary plays za Michael Jordan wakati akicheza dhidi ya La Lakers.

..Raisi alitakiwa awapambe wageni wake pale ambao walikuwa ni Los Angeles Lakers.

NB:

..Obama ana uwezo wa kuwaita Chicago Bulls na kuwapongeza kwa kufikia Eastern Conference Quater Finals after a very long "drought."
 
Unafahamu concept ya "utani wa jadi" ?
 
Kwikwikwikwiiii...Jokakuu una-hate sasa lol...

Oh btw, huu ni mwaka wa Cavs...Lakers wako walie tu
 
..Obama hakupaswa kuendekeza ushabiki wake wa Chicago Bulls siku ambayo it was supposed to be LA Lakers' day.

..Lakers ndiyo mabingwa, sasa ya nini kuwapotezea muda wao na story za Michael Jordan and his past domination over the Lakers?

Man, this is PR, part of President's job. Obama remains a fan of the Bulls.

Don't tell me that you are always a fan of the NBA Champions of the moment?

Even the New Jersey Nets (the worst team, currently with 3 wins & 40 losses) has a large fan base.

You don't stop supporting a franchise just because it's not a champion, as there's always ONE champion at a time.
---------

I won't talk about Michael Jordan's dominance please...
---------

Yeah I agree that Kobe's wife is very beautiful...
 
Kiranga,

..utani wa jadi kwenye US basketball ni kati ya LA Lakers na Boston Celtics.

Omega Psi Phi,

..Cleveland wanaonekana kuwa tishio mwaka huu.

..ila nina wasiwasi kwamba Lebron would do something stupid or run out of steam when it is time to deliver.

..Black Mamba sasa hivi anaumwa, ila akipona huyu sijui mtamfanya nini.
 
Che Guavara said:
Man, this is PR, part of President's job. Obama remains a fan of the Bulls.

Don't tell me that you are always a fan of the NBA Champions of the moment?

Even the New Jersey Nets (the worst team, currently with 3 wins & 40 losses) has a large fan base.

You don't stop supporting a franchise just because it's not a champion, as there's always ONE champion at a time.

Che Guevara,

..I never suggested that Obama should stop supporting, Chicago Bulls, his home state team.

..Obama was playing a bad host, and poor PR indeed, by talking about Chicago Bulls in a function especially arranged to honor the La Lakers, who are the current NBA champions.
 
Jokakuu, it's not that serious. Mwenyejo alikuwa anatania tu. Wewe kweli unaipenda Lakers maana hata utani dhidi yao huwezi kuuvumilia.
 
..hata kule kwa Nancy Reagan alikuwa anatania pia.

..I am seeing a partern hapa ya Raisi kujisahau-sahau.
 
Pia ukumbuke kuwa huyu jamaa (Obama) watu wanamwona ni orator mzuri kumbe wapi. Ana mategemezi sana na teleprompter. Sasa akiwa anaongea bila teleprompter matokeo yake ndio hayo kama aliyoyasema kuhusu Nancy Reagan...
 
Peasant,

..ninachosema mimi ni kwamba ile occassion ya White House ilikuwa ni maalum kwa ajili ya Los Angeles Lakers.

..pale hapakuwa mahali pa Raisi Obama kuanza kulinganisha kwamba Phil Jackson kocha wa La Laker ana championships 6 alizopata na Chicago Bulls na 4 kutoka La Lakers.

..pia hapakuwa mahala pa kuanza kuwakweza Chicago Bulls na theatrical and unnecessary plays za Michael Jordan wakati akicheza dhidi ya La Lakers.

..Raisi alitakiwa awapambe wageni wake pale ambao walikuwa ni Los Angeles Lakers.

NB:

..Obama ana uwezo wa kuwaita Chicago Bulls na kuwapongeza kwa kufikia Eastern Conference Quater Finals after a very long "drought."
It's just a banter, nothing more! Take it easy JK!
 
Wakuu Omega, Peasant et al,

Jokakuu hataki utani na timu yake pulizzzz!!!...😀
..JokaKuu, I will stay clear of comments maana naona mmmh!!!
 
Jokakuu yuko sensitive sana na habari za Lakers...

NB: Mimi nadhani King James is waaaay better than Kobe...
 
4f20bf4aeead54f463ee12f4cfe5f920-getty-90108021ab005_lakers_obama.jpg

...naona Lakers Legend Magic Johnson bado anadunda!
 
Nice pics, thanks. Hivi hizi picha huwa unazitoa wapi, huffington post au?
 
Thanks Ab-Titchaz for the good presentation, you have made my day!!! Keep it up my pal.
 
U r welcome na hapana kupotea namna hio Mama Mdogo.
Heri ya mwaka mpya and all the good stuff that goes with it.
 
Mwaka mpya umenikuta vizuri wa afya tele mimi na familia yangu na ndugu zangu wa karibu, namshukuru Mungu kwa baraka zake.

Nilipotea kidogo tangu Mwezi December nilikuwa huko ughaibuni nikitekeleza majukumu ya kimaendeleo, na mtandao huko shida kweli kweli. Kuanzia jana niko mapumziko kidogo sehemu ambako kuna mtandao, kufungua tu nakuta bandiko la Lakers, thanks!
 
Omega Psi Phi said:
Mimi nadhani King James is waaaay better than Kobe

O-P-P,

..Lebron is getting by bcuz' of the strength and size of his body, but he is very limited when it comes to basketball skills and IQ.

..the way Lebron plays the game is such that, by the time he matures and develops his skills and IQ he will be so banged up to the point of not being productive.

..pamoja na kuwa-sweep Lakers in the regular session, sidhani kama Cavaliers wanaweza ku-survive a seven games match up against the Lakers.

..ili Cleveland wawashinde Lakers inabidi King James na Shaq wacheze vizuri kwa pamoja every single game. if one of them has a bad game you have to count that as a loss.

..Shaq is not as dominant as he used to be anymore. Lebron can not take over and dominate the entire 7 games series. he tried that with the Magics and lost.
 
Back
Top Bottom