khamsinda
Senior Member
- Jul 26, 2016
- 108
- 71
Haya sasa...
Wale wapenzi wa ligi bora duniani,
Ligi yenye miamba mikubwa ya soka duniani Fc Barcelona, Real madrid na Sevila..
Ligi yenye wachezaji bora kabisa kuwahi kutokea duniani CR7 na La pulga Messi....
Karibuni katika uzi huu tufanye tathmini ya ligi yetu pendwa kwa msimu huu wa 2016/2017.
Tukiangalia msimamo, mchezaji aliefanya vizuri mpaka sasa hii ni matchday 32 out of 38... Pia tukiangalia wachezaji chipukizi msimu huu waliofanya vizuri...
Magoli mazuri ya msimu huu... Na mengine mengi yanayojiri la liga hata kuhusu ubora wa makocha....
Bila kusahau matchday 33 itakuwa na mtanange mkali wa kukata na shoka kati ya mahasimu wawili wa muda mrefu Real madrid vs Barcelona... Hivyo tuichambue pia hiyo mechi humu.
Karibuni la liga fans