LA LIGA EXPERIENCE kuwapeleka watanzania Uhispania

LA LIGA EXPERIENCE kuwapeleka watanzania Uhispania

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Picha ikimuonesha mshindi Peter Nyamayo baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Schiphol, Amsterdam nchini Uholanzi.
1741769941594.jpg


Pamoja naye yupo Rajab Chingongo ambaye pia ni mshindi wa shindano la AzamLiga lililowapa nafasi ya kushiriki La Liga Experience kutazama mchezo kati ya Villarreal dhidi ya Real Madrid Jumamosi hii.
images - 2025-03-12T121250.470.jpeg


Youssouf Sako, atakuwa na waigizaji José Loreto pamoja na Carol Castro wataungana na mtangazaji machachari Abuu Yusuf pamoja na Hemed Seif maarufu kama Hemed PhD watakaribishwa na mwenyeji wao André Linares kwa siku tano wakizunguka mitaa ya Valencia pamoja na Villareal.
images - 2025-03-12T121212.466.jpeg


Mbali na hivyo watapata nafasi ya kufanya mahojiano na wachezaji wawili wa Villareal Gérard Moreno pamoja na Pape Gueye, yote haya yataanzia kwenye dimba la José Manuel Llaneza, uwanja wa mazoezi wa Villareal.
 
Ole Sabaya Hamza Mwamposa Kapumbu
1741773856655.jpg


Kazini kuna kazi
1741773852263.jpg
 
Back
Top Bottom