La Liga: FC Barcelona watwaa ubingwa bila kufungwa

[HASHTAG]#ASROMA[/HASHTAG] Is coming again....... we going to make a trabble [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] preparation [HASHTAG]#CR7[/HASHTAG] [HASHTAG]#CR7[/HASHTAG] [HASHTAG]#CR7[/HASHTAG] Magician man maker Ever the world so far.
 
uzi wa kichochezi[emoji23][emoji23]... mashabiki wa Barca mnawashwa washwa... au tuwaitie As Roma[emoji23][emoji23][emoji23] kikombe kimoja uzi mkubwa
wana mihemko waacheni ngoja tuwaitie [HASHTAG]#forzajuve[/HASHTAG] au [HASHTAG]#romanpavlychenko[/HASHTAG] au sio kk
 
Sijawahi kukuelewa upo upande upi, Leo unamsifia mesi kesho Ronaldo.

Mimi Kabla Ya Kuwa Mshabiki Wa Timu kwanza Ni Mshabiki Wa Mpira.
Kwahiyo Nasifia Panapostahiki na Ninakosoa Panapostahiki.

Last Season Mmorocco alikuwa Yupo Juu na Messi alikuwa Mdobwedo.

Lakini season hii Messi Yupo Juu na Mmorocco Ni Mdobwedo.

Kwahiyo sijilazimishi Kusifia Messi tu au Mmorocco tu! Bali Namsifia Aliye Kwenye Form Kwa Wakati Husika.
 
[HASHTAG]#ASROMA[/HASHTAG] Is coming again....... we going to make a trabble [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] preparation [HASHTAG]#CR7[/HASHTAG] [HASHTAG]#CR7[/HASHTAG] [HASHTAG]#CR7[/HASHTAG] Magician man maker Ever the world so far.

Kwanini Nyie Washabiki Wa Mmorocco Munamuombea Mema Sana AS ROMA ili mukutane nae FAINALI?
Kwanini Hamutaki LIVERPOOL aingie FAINALI?
Kwanini Dua Zenu Zote Munapray Roma amtoe Liverpool?

JE, MUNAIOGOPA LIVERPOOL NA NDIYOMANA HAMTAMANI KUKUTANA NAYO FAINALI?

Najua Utakataa Lakini Nafsi zenu zinatueleza Kuwa Mukotayari Kukutana na Roma Kwa gharama yoyote Lakini si Liverpool.
 
Ahahahaha we tofautisha kumaliza ligi bila kufungwa na kubeba kombe bila kufungwa

Huwezi Kujihesabu umebeba Kombe bila ya Kufungwa Wakati Ligi haijamalizika! Hata Kama Ulibeba Kombe Tokea January Na Ukaja Ukafungwe May Basi Huhesabiki Kuwa Umebeba Kombe Bila Ya Kufungwa.
 
sio kwamba tunamuombea laah.ni katika hali ya kuongea ukwwl kwamba weng wenu humu kwny huu uzi ni mashabk wa fc bebwabebwa cc ata tukutane na liva hamna shida hakuna tim yyte ya england inaweza kufunga real na timu nyngne za Spain ww mwenywe shaid nani anaongoza kwa magoli ulaya [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] msimu huu ebu nikumbushe vile
 
Hebu Angalia Hapa ikisha Tuambie Spurs Ni Timu Ya Wapi?
Nyie Washabiki Wa Real Akili zenu Munazijua wenyewe.

Poa mkuu
 
Wamechukua ubingwa bila kufungwa wakati bado kuna mechi bado watacheza!? Ikiwa hawatafungwa mechi zilizosalia ndipo tuseme wamechukua ubingwa pasi na kufungwa.

Vv
 
Kombe la mbuzi hilo,,njooni kwa wanaume eufa huku,katkija nilizozitoa kwenye ndoto za eufa ni pamoja na barca,yaani nyie nan psg hamna tofaut maana mnazungumzia laliga tu.madrid ni club barani ulaya mara mbili na anafukuzia mara ya tatu chini ya kocha mchezaji.jivunieni ndevu za mesi tu nje na hapo mkamchinje mbuz wenu wa laliga.wakati huo wanaume wanasubiri pambano dhidi ya miamba ya ujerumani.mnamuombea madrid njaa ila mmechemka.cr7 fanya kazi yako huyo nyumbu muachie hiyo mbuzi we fukuzia ngamia.,...
 
Barcelona ndani ya miaka 10 wamechukua Laliga mara 7, UCL Mara 3,
Madrid ndani ya miaka 10 wamechukua La Liga Mara 2 na Uefa mara 3.
 
Wamechukua ubingwa bila kufungwa wakati bado kuna mechi bado watacheza!? Ikiwa hawatafungwa mechi zilizosalia ndipo tuseme wamechukua ubingwa pasi na kufungwa.

Vv
Soma ujumbe wangu vizuri Mkuu. Sikusema hawakufungwa hadi mwisho wa ligi, nimesema hawakufungwa hadi wanatwaa ubingwa. Uwe unasoma vyema kabla ya kuchangia.
 
Wamechukua ubingwa bila kufungwa wakati bado kuna mechi bado watacheza!? Ikiwa hawatafungwa mechi zilizosalia ndipo tuseme wamechukua ubingwa pasi na kufungwa.

Vv

Wewe jamaa huwa unafatilia mpira kweli? Juzi wamebeba kombe alaf wewe unasema nini!!!
 
Kabeba Kombe bila Kufungwa?? in which League? Coz Laliga Santander Haijesha sasa Hii bila Kufungwa imetokea Wapi before Final match?

Haki Ya Nani Barca analiwa Ndani Ya El Clasico na Mmorocco anatumbukiza kamba 2 kama zawadi Kwa Basha wake.
Lakini si kabeba kombe bila kufungwa!! kipi kigumu kuelewa hapo?
 
Vamosssssssssssssss...
Tumeshawabamiza wajerumani tunawangoja Waingereza Tuchukue mwaka wa 3 degree ya UEFA[emoji39][emoji146]
 
Barcelona ndani ya miaka 10 wamechukua Laliga mara 7, UCL Mara 3,
Madrid ndani ya miaka 10 wamechukua La Liga Mara 2 na Uefa mara 3.
La liga ligi ya mchangani[emoji23][emoji23] kapambane UEFA na kings of kings
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…