21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,280
- 2,814
Ligi si bado haijaisha
Mfano wakifungwa game ijayo
Mfano wakifungwa game ijayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Club bingwa ya dunia, Copa spainMakombe mawili. Rey and liga
Madrid ana nini???
Kuwepo UEFA[emoji23] [emoji23]Upe basi ubongo wako akili na kumbukumbu sio kikombe kimoja ni vikombe viwili!
Madrid bhana ka yanga wanafurahia kuwepo uefa ka wamechukua tyr sawa na yanga wanafurahia kuendelea makundi wamesahau kua mwakani hawaendi kucheza CAF
Upe basi ubongo wako akili na kumbukumbu sio kikombe kimoja ni vikombe viwili!
Madrid bhana ka yanga wanafurahia kuwepo uefa ka wamechukua tyr sawa na yanga wanafurahia kuendelea makundi wamesahau kua mwakani hawaendi kucheza CAF
[emoji471] LaLiga 2017Makombe mawili. Rey and liga
Madrid ana nini???
Alipata lini?Club bingwa ya dunia, Copa spain
Hivyo Vikombe Barca chini ya Pep alichukua 6,so hakuna kipya Madrid anafanya cha kuwatisha Barca[emoji471] LaLiga 2017
[emoji471] Champions League 2017
[emoji471] UEFA Super Cup 2017
[emoji471] Spanish Super Cup 2017
[emoji471] FIFA Club World Cup 2017
Cha 2018 icho kinakuja kama sio Salah basi tutambamiza bwana wenu As roma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au mnabisha wakuu
maneno ya wakosaji[emoji23]... Walichukua zama za guardiola... sisi hatunaga zama ila tunavibeba kwa zizouHivyo Vikombe Barca chini ya Pep alichukua 6,so hakuna kipya Madrid anafanya cha kuwatisha Barca
Hivyo Vikombe Barca chini ya Pep alichukua 6,so hakuna kipya Madrid anafanya cha kuwatisha Barca
Mesi yupo juu
Haijalishi,ni ndani ya miaka 10 jambo hilo limetokea:maneno ya wakosaji[emoji23]... Walichukua zama za guardiola... sisi hatunaga zama ila tunavibeba kwa zizou
Kabeba Kombe bila Kufungwa?? in which League? Coz Laliga Santander Haijesha sasa Hii bila Kufungwa imetokea Wapi before Final match?
Haki Ya Nani Barca analiwa Ndani Ya El Clasico na Mmorocco anatumbukiza kamba 2 kama zawadi Kwa Basha wake.
We unazungumzia yaliyopita! Angalieni mwaka huu mnaweza mkavuna zeroKuwepo UEFA[emoji23] [emoji23]
umesahau sisi ni mabingwa Mara 2 au
Ahahahaha we tofautisha kumaliza ligi bila kufungwa na kubeba kombe bila kufungwaKabeba Kombe bila Kufungwa?? in which League? Coz Laliga Santander Haijesha sasa Hii bila Kufungwa imetokea Wapi before Final match?
Haki Ya Nani Barca analiwa Ndani Ya El Clasico na Mmorocco anatumbukiza kamba 2 kama zawadi Kwa Basha wake.
Ha ha ha ha ha ha ha ha!Hat trick ya jana unaweza kwenda nayo kazini leo j3 badala ya mafile
Hata tanzania Yanga Amebeba ubingwa Mara 7 ndani ya miaka 10duh watu wamebeba ndoo 7 za laliga ndani ya miaka 10! ..la liga ni ligi ya timu moja kama bundesliga tu
kweli kabisa itabidi lazima sheria zibadilishwe kuona jinsi gani ya kuzisaidia hizi timu zngneHata tanzania Yanga Amebeba ubingwa Mara 7 ndani ya miaka 10
Azam 1 simba 2[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Yanga na Barca na Bayern ni timu hatari sana kwenye ligi zao.