La Liga: FC Barcelona watwaa ubingwa bila kufungwa

Upe basi ubongo wako akili na kumbukumbu sio kikombe kimoja ni vikombe viwili!
Madrid bhana ka yanga wanafurahia kuwepo uefa ka wamechukua tyr sawa na yanga wanafurahia kuendelea makundi wamesahau kua mwakani hawaendi kucheza CAF
Kuwepo UEFA[emoji23] [emoji23]
umesahau sisi ni mabingwa Mara 2 au
 
Upe basi ubongo wako akili na kumbukumbu sio kikombe kimoja ni vikombe viwili!
Madrid bhana ka yanga wanafurahia kuwepo uefa ka wamechukua tyr sawa na yanga wanafurahia kuendelea makundi wamesahau kua mwakani hawaendi kucheza CAF
Makombe mawili. Rey and liga

Madrid ana nini???
[emoji471] LaLiga 2017
[emoji471] Champions League 2017
[emoji471] UEFA Super Cup 2017
[emoji471] Spanish Super Cup 2017
[emoji471] FIFA Club World Cup 2017

Cha 2018 icho kinakuja kama sio Salah basi tutambamiza bwana wenu As roma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au mnabisha wakuu
 
Hivyo Vikombe Barca chini ya Pep alichukua 6,so hakuna kipya Madrid anafanya cha kuwatisha Barca
 
Shekhe umemaliza kila kitu. Vi rendra kutoka nchini india atakuwa amekuelewa 😛😛😛
 
maneno ya wakosaji[emoji23]... Walichukua zama za guardiola... sisi hatunaga zama ila tunavibeba kwa zizou
Haijalishi,ni ndani ya miaka 10 jambo hilo limetokea:
Barca-La Liga *7
Madrid*2 au 3
Atletico*1!

So Barca siyo wa mchezo mchezo.
Hatuwabez Madrid kwani nao wako vizuri.
 
Kabeba Kombe bila Kufungwa?? in which League? Coz Laliga Santander Haijesha sasa Hii bila Kufungwa imetokea Wapi before Final match?

Haki Ya Nani Barca analiwa Ndani Ya El Clasico na Mmorocco anatumbukiza kamba 2 kama zawadi Kwa Basha wake.
 
Sijawahi kukuelewa upo upande upi, Leo unamsifia mesi kesho Ronaldo.
 
Kabeba Kombe bila Kufungwa?? in which League? Coz Laliga Santander Haijesha sasa Hii bila Kufungwa imetokea Wapi before Final match?

Haki Ya Nani Barca analiwa Ndani Ya El Clasico na Mmorocco anatumbukiza kamba 2 kama zawadi Kwa Basha wake.
Ahahahaha we tofautisha kumaliza ligi bila kufungwa na kubeba kombe bila kufungwa
 
duh watu wamebeba ndoo 7 za laliga ndani ya miaka 10! ..la liga ni ligi ya timu moja kama bundesliga tu
Hata tanzania Yanga Amebeba ubingwa Mara 7 ndani ya miaka 10
Azam 1 simba 2[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Yanga na Barca na Bayern ni timu hatari sana kwenye ligi zao.
 
kweli kabisa itabidi lazima sheria zibadilishwe kuona jinsi gani ya kuzisaidia hizi timu zngne
 
Back
Top Bottom