La Liga: FC Barcelona watwaa ubingwa bila kufungwa

Isome vzr hiyo comments
kwani kuwa ligi kuu ya hispania sio mchangani[emoji23] mbona waspanish wanaiona ya mchangani kama sisi tunavyoona simba na yanga.
ni sawa na simba kushinda ligi ya Tanzania bara afu yanga ashinde Club bingwa Africa huwezi fananisha
 
Ungeisoma vzr ungeelewa, nimesema Madrid kwenye miaka 10 kachukua Mara tatu UCL ambapo ni sasa na Barcelona ambaye ndani ya miaka kumi hiyo hiyo kachukua Mara tatu. Ko kwangu hakuna kigeni
 
Simba nayo inafuata nyayo Jumapili,Simba kama Barca,Kichuya kama Messi
 
Barcelona aka Barca are Champions of Spain 2017/2018
 
Mkuu bangi za wapi hizi? Spurs kamfanya nini madrid?
 
Congratulations to them. Great achievement, great effort.
 
Anaechukua UEFA ndio yuko juu....Ronaldo ndio mchezaji bora wa Dunia
 
Upe basi ubongo wako akili na kumbukumbu sio kikombe kimoja ni vikombe viwili!
Madrid bhana ka yanga wanafurahia kuwepo uefa ka wamechukua tyr sawa na yanga wanafurahia kuendelea makundi wamesahau kua mwakani hawaendi kucheza CAF
nimecheka sana kwamba kama Yanga wanafurahi kuendelea makundi wanasahau mwakani CAF out.
 
uyo spurz kwa ss yupo wapi uefa????
We ni chizi sio bure, umesema madrid hawezi fungwa na timu kutoka England sasa nakuuliza spurs ni ya japan?
 
We ni chizi sio bure, umesema madrid hawezi fungwa na timu kutoka England sasa nakuuliza spurs ni ya japan?
we Naituti nn ? sio lazima kureply coz huna adabu asa matusi ya nn? kama huwez kucomment kiadabu acha mihemko
 
we Naituti nn ? sio lazima kureply coz huna adabu asa matusi ya nn? kama huwez kucomment kiadabu acha mihemko
Nawewe kama huna data usiandike uongo
 
Anaechukua UEFA ndio yuko juu....Ronaldo ndio mchezaji bora wa Dunia

Sio Kweli!

• 1997 Bingwa CL Ni Dortmund
• 1998 Bingwa CL Ni Real
• 1999 Bingwa CL Ni Man U
• 2000 Bingwa CL Ni Real
• 2001 Bingwa CL Ni Bayern
• 2003 Bingwa CL Ni AC Milan
• 2004 Bingwa CL Ni Porto
• 2005 Bingwa CL Ni Liverpool
• 2006 Bingwa CL Ni Barcelona
• 2010 Bingwa CL Ni Inter Milan
• 2012 Bingwa CL Ni Chelsea
• 2013 Bingwa CL Ni Bayern

Katika Miaka Hiyo Yote Niliyoitaja Hapo Juu Hakuna Hapo Timu iliyotwaa CL mwaka Huo Na Ikatoa Mchezaji Bora aliyetwaa Ballon D'or! Bali Tunzo Hiyo ilibebwa Na Wachezaji Ambao Hawakubeba CL Kwa Wakati Huo!
Kwa Mfano Ronaldo De Lima (1997 akiwa Barcelona), Zidane 1998 (Juventus), Rovaldo Barcelona (1999), Zidane & Ronaldo Kati ya 2000 - 2003 (Wakiwa Real Mad), Gaucho 2004 na 2005 (Barcelona).
Canavaro 2006 (Juventus), Messi 2010/12/13 (Barcelona).

Kwahiyo Huo Uongo Wa Kuwa Anaechukua CL ndiyo Yupo Juu Peleka [HASHTAG]#Instagram[/HASHTAG] lakini Sio Hapa! Wapo Hao Walikuwa Juu na Kutamba Na Uchezaji Bora Wa Dunia Bila Ya Kubeba CL.

Kwahiyo Messi Kwasasa Ni Mchezaji Bora Mara ×10000E99 mbele Ya Ronaldo Hata Kama Hajabeba CL! Labda Mo Salah Anaweza Akamletea Challenge iwapo Liverpool itabeba CL.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…