La Liga: Hatimaye FC Barcelona yachezea kichapo, Messi hakuwepo!

wameweza arsenal tu hili hao wengine watazurula sana pambav wanaume walipiga game 49 unbeaten
 
Ligi ya bongo unalinganisha na La Liga?
kwanini isifanane mkuu zote ni ligi kuu alafu barcelona kama vyura sc yaani barca bila messi ni ushuzi mtupu na wale vyura nao bila mzee akilimali ni mimavi kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kwahiyo Messi angezuia goli 5?!

Akiwa uwanjani anaitaji wachezaji wawili kumkaba, zipo mechi nyingi amekua akitokea benchi kwenda kuokoa jahazo na kweli magoli yanarudi na mechi ya mwisho nadhan ilikua ya servila ambapo walishala mbili bila alivyoingia akaasist moja na kufunga moja.
 
Makosa yaliyofanyika mpaka kutolewa Uefa dhidi ya As Roma yamejirudia Jana,Kocha anastahili lawama zote huwezi kudharau mchezo/timu ilihali unatakiwa kulinda record...au najiuliza kama labda Barcelona wameuza game maana levante wameshangilia sana Na walikua wanachungulia kushuka daraja,Na kama ni hivyo itawacost barca ukilifanyika uchunguzi
 
Wanatuchania tu mikeka yetu kwa upumbavu wao.
Yaani odds 8 inatoka?
Si ujinga huu
 
Acha kulinganisha Barca na vitu vya ovyo kama Mikia FC.
Simba sio timu... Acha wivu wa kishamba.

kama kuna timu nyingine ambayo haijapoteza itaje hatukatai.
Mimi nataja Simba sc from Tanzania
 

Bila Messi tim inapoteza uelekeo. Messi ndiye injini ya Barca
 
Timu kumaliza ligi bila kupoteza mchezo wowote duniani.. Ni Simba SC. Wengine hawawezi
unaijua Nothenham forest...na walichokifanyaga arsenal...au wajitoa ufahamu tu ..mkuu
 
Kwa Barca ya msimu huu Kufungwa walitaka wenyewe
Game zote mbili walizopoteza kuanzia ile ya Uefa dhidibyabAs Roma Na hii ya Levante ni kama barca hawakukaza..ki uwezo hapakua Na game ya kumshinda barca kama angeamua
Kadroo Na Madrid wakiwa nusu ni bado tu hakukaza au ndio wameuza game so unajua Spain?
 
HAKUNA cha kuuza,kapigwa basi!
Wao nani????!
 
HAKUNA cha kuuza,kapigwa basi!
Wao nani????!
Wao Nani?kumbuka barca hajafungwa kwa zaidi ya siku 380..!hiyo sio rekodi ya kawaida mkuu..
Huyu ndiye Barcelona Na ametangaza ubingwa bila kufungwa!
Na hii ya juzi hakuamua kushinda kubali hivyo
 
Wao Nani?kumbuka barca hajafungwa kwa zaidi ya siku 380..!hiyo sio rekodi ya kawaida mkuu..
Huyu ndiye Barcelona Na ametangaza ubingwa bila kufungwa!
Na hii ya juzi hakuamua kushinda kubali hivyo
Sidhani kama kuna kuamua kushinda au la! Walizidiwa mbinu n.a. jamaa walionekana kudhamiria. Pique,Iniesta n.a. Suarez (kutaja baadhi) walionekana kuchanganyikiwa na "kasi"ya madogo. Barca walitaka kuweka rekodi ya kutofungwa.Imeshindikana,wajipange kwa msimu mwingine! Kisicho riziki........!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…