La Liga: Hatimaye FC Barcelona yachezea kichapo, Messi hakuwepo!

Simba sio timu... Acha wivu wa kishamba.

kama kuna timu nyingine ambayo haijapoteza itaje hatukatai.
Mimi nataja Simba sc from Tanzania

Usiwe na ushabiki huo,
HAMMARBY FC haijapoteza mchezo hata mmoja,ngoja nikuletee list ya timu ambazo hazijapoteza kwenye ligi za nchi kubwa chief Kama ukibisha
 
Leta sijabisha... uikumbuke na Simba
 
Back
Top Bottom