La liga: Mkenya anayechezea timu ya Girona fc afunga hat-trick!

La liga: Mkenya anayechezea timu ya Girona fc afunga hat-trick!

Hongera kwake hiyo mechi niliangalia,nakumbuka mwaka juzi alikuja tz na tim ya gor mahia
Nakumbuka nilimuonaga CECAFA, tangu wakati huo sijawahi kumsahau, akiendelea kutia juhudu atafika mbali.
 
Congratulations all Kenyans and East African footballers playing abroad. Work hard...you deserve to be there.Don't be bored with Trump and the likes who mess African countries.
 
Back
Top Bottom