Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Ndugu Dunstan Tido Mhando kweli ni mtu wa mageuzi kwa maendeleo. Hapana ubishi tokea aanze kazi Azam TV pamekuwa na mabadiliko ya kimuonekano na kivitendo kwa taasisi hii na mengi tunayasubiri hasa kwenye 'one na two', pawekwe Azam TV 1 na kuendelea. Jambo lililokuwa kubwa ni kutuletea La Liga. Kwa hili mzee wetu hatuna cha kukupa ila shukran nyingi na kukuombea kwa Mola akuzidishie afya njema na kila la kheri hapo Azam TV. Aksante sana.