Kwani kuna wazo la ku host Afcon?Kama sie wabongo vile mpira wa magazetini na mdomoni, mara pira biriani mara sukuma pumzi ya moto, sasa ngoja wajenwanaojua mpira mapemaaa tulishapigwa.....π€£π€£π€£π€£π€£
Ndio mzee... mama anataka 2027 ngoma ipigwe hapa tz....mama kaona mbali amechoka na hizi tantalila za kamati ya ushindi taifa starsπ€£π€£π€£π€£ tunapigwa tuu. Wacha tuhost tuwe na uhakika kabisa wa kushiriki afcon.Kwani kuna wazo la ku host Afcon?
Hapana ilitakiwa wote wakutane yaani iwe mfumo wa ligi!π sasa kigezo sahihi ni kipi? Maana huko UEFA ndio wanakutana wababe wa Ulaya
ila kwa definition ya league ubora ndio unapimwa hivyo..., Cup competition sio kipimo kizuri cha timu bora ndio maana hata timu kushinda world cup haimaanishi ndio bora mwaka huo sababu inategemea na siku mmeamkaje bahati na mmecheza na nani..., suala la league huwezi kuwa na bahati msimu mzima..., Pia kushinda Cup competition wewe kuwa na defense nzuri tu mengine yatajipaInaweza kuwa ligi ya ushindani lakini wote ni vibonde, wakitoka nje wanapigwa
Chelsea alitoa ATLETICO NA REAL MADRIDMsimu ambao chelsea anachukua uefa naomba nitajiwe timu alizozitoa za La Liga.
Na City alizozitoa
Ni kweli ushindani ni mzuri kwenye ligi, lakini ukweli ni kuwa timu za La Liga ni more technical na bora zaidi ya timu za EPL. Hii michuano ya UEFA ni ushahidi tosha mkuuila kwa definition ya league ubora ndio unapimwa hivyo..., Cup competition sio kipimo kizuri cha timu bora ndio maana hata timu kushinda world cup haimaanishi ndio bora mwaka huo sababu inategemea na siku mmeamkaje bahati na mmecheza na nani..., suala la league huwezi kuwa na bahati msimu mzima..., Pia kushinda Cup competition wewe kuwa na defense nzuri tu mengine yatajipa
πππππ yaani ni ligi ya timu mbili Barcelona na madrid ndio maana haifuatiliwi sanaaaSALAAM WAKUU.
Jana kulishuhudiwa mchezo wa hatima ya UEFA CL kati ya REAL MADRID dhidi yaLIVERPOOL ambapo vijana wa LOS BLANCOS walinyakua taji baada ya kuifunga LIVERPOOL bao 1 bao lililofungwa na VINICIUS.
Hadi wananyakua taji timu ya REAL MADRID imezifunga timu zilizomaliza nafasi tatu za juu kwenye ligi ya UINGEREZA ambazo ni CHELSEA(N3) MANCHESTER CITY(BINGWA) NA LIVERPOOL(N2) JE HII HAITOSHI KUTHIBITISHA KUWA LA LIGA NI BORA KULIKO EPL?
NB: LIVERPOOL(6) MANCHESTER UNITED (3) CHELSEA(2) NOTTINGHAM FOREST(2) ASTON VILLA(1) JUMLA 14= REAL MADRID 14.
VILEVILE MARA YA MWISHO KWA MADRID KUFUNGWA MCHEZO WA FAINALI YA UEFA ILIKUWA MWAKA 1981.
EPL NI LIGI YA WAPIGA DOMO
HALLA MADRID.
Na hilo ndio tatizo kubwa kwa βLa Liga Santanderπππππ yaani ni ligi ya timu mbili Barcelona na madrid ndio maana haifuatiliwi sanaaa
Ligi ya ajabu ajabu
we ndo umeongea mwananguYote Tisa kumi mzee ancelotti ni bonge la tactician
Kutoka Madrid ya kuunga unga mpaka bingwa wa laliga + UEFA cl
Pamoja na kuwa ni ligi ya ajabu ajabu bado timu zake zinanyanyasa timu za ligi yenu bora ya EPL πππππππ yaani ni ligi ya timu mbili Barcelona na madrid ndio maana haifuatiliwi sanaaa
Ligi ya ajabu ajabu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani ni ligi ya timu mbili Barcelona na madrid ndio maana haifuatiliwi sanaaa
Ligi ya ajabu ajabu
Chelsea akiwa namba 6 kwenye ligi aliweza kumbonda barcelona bingwa wa laliga kwa misimu 5mfululizoSALAAM WAKUU.
Jana kulishuhudiwa mchezo wa hatima ya UEFA CL kati ya REAL MADRID dhidi yaLIVERPOOL ambapo vijana wa LOS BLANCOS walinyakua taji baada ya kuifunga LIVERPOOL bao 1 bao lililofungwa na VINICIUS.
Hadi wananyakua taji timu ya REAL MADRID imezifunga timu zilizomaliza nafasi tatu za juu kwenye ligi ya UINGEREZA ambazo ni CHELSEA(N3) MANCHESTER CITY(BINGWA) NA LIVERPOOL(N2) JE HII HAITOSHI KUTHIBITISHA KUWA LA LIGA NI BORA KULIKO EPL?
NB: LIVERPOOL(6) MANCHESTER UNITED (3) CHELSEA(2) NOTTINGHAM FOREST(2) ASTON VILLA(1) JUMLA 14= REAL MADRID 14.
VILEVILE MARA YA MWISHO KWA MADRID KUFUNGWA MCHEZO WA FAINALI YA UEFA ILIKUWA MWAKA 1981.
EPL NI LIGI YA WAPIGA DOMO
HALLA MADRID.
Usiwakumbushe mzimu Barcelona,likufufuka hili nalo linatandika vi Tim vya england Sana,Kuna mwaka man u alitandikwa palepale Wembley,dah,Sema hivi wewe tangu unakuwa umekuwa ukipata access ya Kuona EPL tuu,Inawezekana na Vingβamuzi au Mazingira ya Eingereza kupenda kutangaza biashara zao ikapelekea watu wengi kuiangali.
La Liga mpaka uitafute ndio uione,Wakati Epl inakuja Automatic tu!
Na wala haifikii La liga,Sema majigambo ndio yamezidi,Maneneo meeengi lakini hakuna Mpira!
World cup oooh it come home Wakapigwa[emoji1787][emoji1787]
Maneno ndio yapo Uingereza,Mpira Hispania na Italy.
Barca kateswa sana na bayan huku barca wakipeana shughuli isiona mshindi dhidi ya chelseaUsiwakumbushe mzimu Barcelona,likufufuka hili nalo linatandika vi Tim vya england Sana,Kuna mwaka man u alitandikwa palepale Wembley,dah,
Safii[emoji725]View attachment 2242988