La Liga ni bora kuliko EPL

La Liga ni bora kuliko EPL

Kama sie wabongo vile mpira wa magazetini na mdomoni, mara pira biriani mara sukuma pumzi ya moto, sasa ngoja wajenwanaojua mpira mapemaaa tulishapigwa.....🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani kuna wazo la ku host Afcon?
 
Inaweza kuwa ligi ya ushindani lakini wote ni vibonde, wakitoka nje wanapigwa
ila kwa definition ya league ubora ndio unapimwa hivyo..., Cup competition sio kipimo kizuri cha timu bora ndio maana hata timu kushinda world cup haimaanishi ndio bora mwaka huo sababu inategemea na siku mmeamkaje bahati na mmecheza na nani..., suala la league huwezi kuwa na bahati msimu mzima..., Pia kushinda Cup competition wewe kuwa na defense nzuri tu mengine yatajipa
 
Ni kweli ushindani ni mzuri kwenye ligi, lakini ukweli ni kuwa timu za La Liga ni more technical na bora zaidi ya timu za EPL. Hii michuano ya UEFA ni ushahidi tosha mkuu
 
SALAAM WAKUU.

Jana kulishuhudiwa mchezo wa hatima ya UEFA CL kati ya REAL MADRID dhidi yaLIVERPOOL ambapo vijana wa LOS BLANCOS walinyakua taji baada ya kuifunga LIVERPOOL bao 1 bao lililofungwa na VINICIUS.

Hadi wananyakua taji timu ya REAL MADRID imezifunga timu zilizomaliza nafasi tatu za juu kwenye ligi ya UINGEREZA ambazo ni CHELSEA(N3) MANCHESTER CITY(BINGWA) NA LIVERPOOL(N2) JE HII HAITOSHI KUTHIBITISHA KUWA LA LIGA NI BORA KULIKO EPL?

NB: LIVERPOOL(6) MANCHESTER UNITED (3) CHELSEA(2) NOTTINGHAM FOREST(2) ASTON VILLA(1) JUMLA 14= REAL MADRID 14.

VILEVILE MARA YA MWISHO KWA MADRID KUFUNGWA MCHEZO WA FAINALI YA UEFA ILIKUWA MWAKA 1981.

EPL NI LIGI YA WAPIGA DOMO
HALLA MADRID.
😂😂😂😂😂 yaani ni ligi ya timu mbili Barcelona na madrid ndio maana haifuatiliwi sanaaa

Ligi ya ajabu ajabu
 
Aweeee
Msimu uliopitaa
60B73D4D-68F6-4C7E-B216-8B9649F1C0A3.jpeg

Halla Madrid kwa msimu huu
 
😂😂😂😂😂 yaani ni ligi ya timu mbili Barcelona na madrid ndio maana haifuatiliwi sanaaa

Ligi ya ajabu ajabu
Pamoja na kuwa ni ligi ya ajabu ajabu bado timu zake zinanyanyasa timu za ligi yenu bora ya EPL 😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani ni ligi ya timu mbili Barcelona na madrid ndio maana haifuatiliwi sanaaa

Ligi ya ajabu ajabu

Yaani wewe unadharau au Umelewa aisee[emoji3166][emoji30][emoji30]
Yaani Wewe timu yako hiyo ya Uingereza anaweza Kumnyanyasa Naweka ambazo hujazitaja!
Anaweza Kumnyanyasa
1.Atletico?
2.Sevilla
3.Valencia
4.Villareal?
Aiseee acha Dharau za Kutojua wewe
Hizo timu nilizoziandika Zikikutana na Arsenal,Chelsea,Liver,Man u, lazima Moto uwake[emoji91]
 
SALAAM WAKUU.

Jana kulishuhudiwa mchezo wa hatima ya UEFA CL kati ya REAL MADRID dhidi yaLIVERPOOL ambapo vijana wa LOS BLANCOS walinyakua taji baada ya kuifunga LIVERPOOL bao 1 bao lililofungwa na VINICIUS.

Hadi wananyakua taji timu ya REAL MADRID imezifunga timu zilizomaliza nafasi tatu za juu kwenye ligi ya UINGEREZA ambazo ni CHELSEA(N3) MANCHESTER CITY(BINGWA) NA LIVERPOOL(N2) JE HII HAITOSHI KUTHIBITISHA KUWA LA LIGA NI BORA KULIKO EPL?

NB: LIVERPOOL(6) MANCHESTER UNITED (3) CHELSEA(2) NOTTINGHAM FOREST(2) ASTON VILLA(1) JUMLA 14= REAL MADRID 14.

VILEVILE MARA YA MWISHO KWA MADRID KUFUNGWA MCHEZO WA FAINALI YA UEFA ILIKUWA MWAKA 1981.

EPL NI LIGI YA WAPIGA DOMO
HALLA MADRID.
Chelsea akiwa namba 6 kwenye ligi aliweza kumbonda barcelona bingwa wa laliga kwa misimu 5mfululizo

Chelsea mwaka jana alimbonda atletico bingwa wa laliga na madrid mwenyewe akiwa nafasi ya 3

Ni mara nyingi tu madrid amechukua ubingwa wa ulaya huku akiwa sio bingwa wa ulaya

Hata liver kasuasua ligi ya uingereza ila alikuwa anawasha moto huko ulaya

Ni vigumu kupima ubora kwa timu zinazokutana mtoano tu
 
Sema hivi wewe tangu unakuwa umekuwa ukipata access ya Kuona EPL tuu,Inawezekana na Ving’amuzi au Mazingira ya Eingereza kupenda kutangaza biashara zao ikapelekea watu wengi kuiangali.

La Liga mpaka uitafute ndio uione,Wakati Epl inakuja Automatic tu!

Na wala haifikii La liga,Sema majigambo ndio yamezidi,Maneneo meeengi lakini hakuna Mpira!

World cup oooh it come home Wakapigwa[emoji1787][emoji1787]
Maneno ndio yapo Uingereza,Mpira Hispania na Italy.
Usiwakumbushe mzimu Barcelona,likufufuka hili nalo linatandika vi Tim vya england Sana,Kuna mwaka man u alitandikwa palepale Wembley,dah,
 
Usiwakumbushe mzimu Barcelona,likufufuka hili nalo linatandika vi Tim vya england Sana,Kuna mwaka man u alitandikwa palepale Wembley,dah,
Barca kateswa sana na bayan huku barca wakipeana shughuli isiona mshindi dhidi ya chelsea

Kila timu nakibonde wake
 
Back
Top Bottom