Licha ya kuchoshwa na ratiba,Lakini timu ya EPL ikikutana na timu kutoka La Liga mara nyingi timu kutoka La Liga Ina ibuka kidedea.Epl wanachoshwa Sana na ratiba zao,ligi ngumu pia...mechi za mtoano Kama za ucl Zina mbinu tofauti
Anakwambia.Jana alipaki,akapiga kaunta
Mbona unajichanganya sasa, la Liga huwezi kufananisha na EPL ni mbingu na ardhiMkuu La Liga ni ligi bora zaidi ya EPL, michuano ya UEFA inasupport hii hoja. EPL ni ligi yenye msisimko na ushindani tu lakini si bora kuzidi La Liga
Hahahaha dahBongo ndio zero kabisa, tunaupenda mpira lakini wenyewe hautupendi. Kwa kifupi hatujui kucheza mpira [emoji23][emoji23]
Chelsea anaweza kuwanyanyasa wote haoYaani wewe unadharau au Umelewa aisee[emoji3166][emoji30][emoji30]
Yaani Wewe timu yako hiyo ya Uingereza anaweza Kumnyanyasa Naweka ambazo hujazitaja!
Anaweza Kumnyanyasa
1.Atletico?
2.Sevilla
3.Valencia
4.Villareal?
Aiseee acha Dharau za Kutojua wewe
Hizo timu nilizoziandika Zikikutana na Arsenal,Chelsea,Liver,Man u, lazima Moto uwake[emoji91]
Mtoa hoja anaona mechi 13 zinatosha kupima ubora wa timuChelsea akiwa namba 6 kwenye ligi aliweza kumbonda barcelona bingwa wa laliga kwa misimu 5mfululizo
Chelsea mwaka jana alimbonda atletico bingwa wa laliga na madrid mwenyewe akiwa nafasi ya 3
Ni mara nyingi tu madrid amechukua ubingwa wa ulaya huku akiwa sio bingwa wa ulaya
Hata liver kasuasua ligi ya uingereza ila alikuwa anawasha moto huko ulaya
Ni vigumu kupima ubora kwa timu zinazokutana mtoano tu
kwani viwango vya fifa vinapimwaje? unavoelewa wewe ndio unataka iwe hivyo?ila kwa definition ya league ubora ndio unapimwa hivyo..., Cup competition sio kipimo kizuri cha timu bora ndio maana hata timu kushinda world cup haimaanishi ndio bora mwaka huo sababu inategemea na siku mmeamkaje bahati na mmecheza na nani..., suala la league huwezi kuwa na bahati msimu mzima..., Pia kushinda Cup competition wewe kuwa na defense nzuri tu mengine yatajipa
Toa man u weka arsenalEPL inaushindani mwingi kuliko la lilaga ,
auwezi tabiri mshindi Epl
Lakini laliga kama sio Réal Madrid ni Barcelona ndio atakuwa mshindi kila mwaka
ila Epl utakuta
LIVER
M.CITY
CHELSEA
TOTHENAM
M.UNITED
La Liga ni boraUnaongelea timu au ligi??
Hueleweki unaongelea nini ndgu yangu.
Hata Beyern ni timu bora lakini huwezi kusema ligi yao ni bora.
Kilicho bora wala hakitangazwi ila kinajitangaza chenyewe tu. Si unaona unavohangaika kuipa promo La liga, unatumia minguvu kibao.
Sasa hiyo ni weak point,Kipimo chao kikubwa ni madrid kuchukua UCL mara 14 na kuwapiga hizo top 3 basii.
Sema club sio vilabu vingi ni vilabu vipi hivyo mlivyochukuwa mataji mengi zaidi ya Real? Ubora wa kitu lazima kiende na thamani yake La liga imeachwa kwa mbali katika thamani ya kuuzwa tena mbali sana. Huwezi kuwa na ubora halafu thamani huna sema Real na Barca( walikuwa) hakuna team zaidi kutoka La liga tishio. PSG alikuwa na uwezo wa kuchukua sasa kesho tuseme ligue 1 bora. Kwa ufupi kibora lazima kiwe na thamani huwezi kununua NIKE original kwa bei za kariakoo.Vilabu kutoka La Liga ndio vimechukua makombe mengi zaidi ya UEFA. Unaposema La Liga sio bora unamaanisha nini?
Acha kujidhalilisha angalia top ten ya waliobeba makombe ya UEFA uniambie EPL imetoa timu ngapi na hao la ligwa wametoa timu ngapi[emoji23] hebu kuwa serious mkuu, Real Madrid peke yake wamebeba UCL 14 ambayo ni zaidi ya makombe yaliyobebwa na vilabu vyote vya Uingereza. Sasa hiyo EPL ubora wake ni upi?
Labda DSTV ngumu kwako nadhani La liga unaitizama Start times huwezi kulaumiwa wala usitumie nguvu pata burudani tu. Kwa hiyo mwakja jana ilikuwa EPL mwaka huu La liga labda mwakani France labda...La Liga ni bora
EPL ni pendwa
Nasikia Coastal wamingia Final sasa sijui nao ni bora kuliko Azam na Simba?ila kwa definition ya league ubora ndio unapimwa hivyo..., Cup competition sio kipimo kizuri cha timu bora ndio maana hata timu kushinda world cup haimaanishi ndio bora mwaka huo sababu inategemea na siku mmeamkaje bahati na mmecheza na nani..., suala la league huwezi kuwa na bahati msimu mzima..., Pia kushinda Cup competition wewe kuwa na defense nzuri tu mengine yatajipa
Lakini hata kiungo alipamudu sana, Kross aliupiga mwingi japo modric ameanza kuchoka aseeJana alipaki,akapiga kaunta
We jamaa upo sahihi kabisa, chuku timu kama real Madrid leta EPL halafu icheze mechi za ligi, carabao, fa na UEFA kama haijamaliza ligi nafasi ya 10 na UEFA akatolewa mzunguko wa kwanza [emoji28][emoji28]Epl wanachoshwa Sana na ratiba zao,ligi ngumu pia...mechi za mtoano Kama za ucl Zina mbinu tofauti
Haifanyi promotion kama EPL inavyo fanya.Ndo maana EPL Ina fatiliwa sana.Lakini uwanjani timu za La Liga na EPL zikikutana mara nyingi mshindi huwa anatoka La Liga.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani ni ligi ya timu mbili Barcelona na madrid ndio maana haifuatiliwi sanaaa
Ligi ya ajabu ajabu
Wala usitumie nguvu na hawa wateja wa star times ukitaka kuona EPL ni mwendo wa dola 50 kwa mwezi league ziko nyingi kuna watu huwaambii kitu na league ya Voda haki yao sio lazima sote tupende kitu kimoja ila facts ziko wazi huwa tunaamini kilicho bora na thamani yake inakuwa juu changanya la liga+ Bundesliga+Seria A ndio thamani ya EPL kwenye revenue.EPL inaushindani mwingi kuliko la lilaga ,
auwezi tabiri mshindi Epl
Lakini laliga kama sio Réal Madrid ni Barcelona ndio atakuwa mshindi kila mwaka
ila Epl utakuta
LIVER
M.CITY
CHELSEA
TOTHENAM
M.UNITED
Everton vs west hamUnaweza kuenjoy kuangalia mechi mfano Brentford v Wolves, ila sio Osasuna v Cadiz
Haifanyiwi promotion Mkuu ukilinganisha na EPL.Lakini uwanjani uwezo una onekana yupi ni best.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani ni ligi ya timu mbili Barcelona na madrid ndio maana haifuatiliwi sanaaa
Ligi ya ajabu ajabu