La Liga ni bora kuliko EPL

La Liga ni bora kuliko EPL

Haifanyi promotion kama EPL inavyo fanya.Ndo maana EPL Ina fatiliwa sana.Lakini uwanjani timu za La Liga na EPL zikikutana mara nyingi mshindi huwa anatoka La Liga.
La Liga wameishi muda mrefu kwa majina ya Ronaldo na Messi kuuza lakini EPL haiuzi kwa majina ya wachezaji ni team zinawafuasi wengi haijalishi nani anachezea ndio maana juzi baada ya Mpabe kuitolea nje Real La liga president akawa kama mbogo sababu wanatembelea nyota za wachezaji lakini huwezi kusikia Rais wa EPL kuongelea usajili wa wachezaji.

Hata Messi alipoondoka walikuja juu Rais wa La liga wanauza kwa majina ya watu hilo linawatia wasiwasi. EPL is attractive haijalisha anacheza nani.
 
EPL inaushindani mwingi kuliko la lilaga...
Hao ulio wataja Wana ushindani ndani ya ligi Yao lakini wakienda kwenye Ligi ya La Liga.Mara nyingi hawafui dafu.

Swala la Real Madrid au Barcelona kuwa bingwa ni Kwa sababu wao kwenye Ligi Yao ndiyo ma giant kwenye swala Zima kiuchumii.

Hawana competition ndo maana hao wawili Labda kidogo ukiwaweka na Sevilla pamoja na A.madrid ukilinganisha na EPL ambako wawekezaji wa timu zao wako ki biashara zaidi ko lazima wazibust kuongeza ushindani.

Ndo maaana hata timu nyingi zenye uchumi mzuri asilimia kubwa zinatoka EPL.

Lakini uwezo UWANJAni La Liga ana beat sana timu za EPL
View attachment 2244073
 
La Liga wameishi muda mrefu kwa majina ya Ronaldo na Messi kuuza lakini EPL haiuzi kwa majina ya wachezaji ni team zinawafuasi wengi haijalishi nani anachezea ndio maana juzi baada ya Mpabe kuitolea nje Real La liga president akawa kama mbogo sababu wanatembelea nyota za wachezaji lakini huwezi kusikia Rais wa EPL kuongelea usajili wa wachezaji. Hata Messi alipoondoka walikuja juu Rais wa La liga wanauza kwa majina ya watu hilo linawatia wasiwasi. EPL is attractive haijalisha anacheza nani.
La Liga president ni nani huyo?

EPL INA MVUTO(attractive)

LA LIGA NI BORA( best)
 
EL CLASSICO (REAL MADRID VS BARCELONA) ndio mechi ya ligi ambayo hufuatiliwa na wengi zaidi duniani.
vilevile timu hizo mbili ndio zinazoongoza kuwa na wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii.

LA LIGA NI BORA KULIKO EPL.
Laliga ina timu 2 tuu zenye hadhi ya kipekee lakini 18 zilizobaki ni mdebwedo tuu.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Laliga ina timu 2 tuu zenye hadhi ya kipekee lakini 18 zilizobaki ni mdebwedo tuu.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Lakini hizo hizo mdebwedo,ukizikutanisha na timu kutoka EPL za mdebwedo Zina win.

Hadhi ni Kwa sababu ya uchumi.Kwenye Top 20 timu zenye uchumi mzuri timu za La Liga hazizidi 3. Lakini Kwa uwezo timu za La Liga ziko vizuri
 
Humjui president wa La liga? kazi ipo. Unawezaje kuwa mzuri lakini huvutii lakini mbaya unavutia mbona unajichanganya. Mzuri lazima avutie
La Liga president ni nani huyo?

EPL INA MVUTO(attractive)

LA LIGA NI BORA( best)
 
Niambie LaLiga ubora wake ni upi? Timu moja kubeba vikombe vingi ndio ubora ulipo?
Mkuu mbona hili suala liko wazi? Sielewi tunabishana nini. Kuanzia Europa League mpaka UCL kote timu za La Liga ndio zinaongoza kubeba makombe. Sasa wewe unataka ubora gani?
 
Epl wanachoshwa Sana na ratiba zao,ligi ngumu pia...mechi za mtoano Kama za ucl Zina mbinu tofauti
Hicho ni kisingizio tu mkuu, ukweli ni kuwa ligi ya Uingereza ni overrated. Haina huo ubora inaosemekana inao
 
Halafu mtu yoyote anayeleta mada kama hii nakutumia nguvu hujui anataka ku prove nini. Wewe kama unaona La liga bora endelea kuangalia tu hakuna shida na anayeona Seria A bora angalia tu kuna watu wako Bundesliga sawa tu EPL waangalie tu mwisho wa siku kziuri kinajulikana na thamani yake tu wako watu wanakufa na Simba na Yanga tu sawa tu.
 
Sema club sio vilabu vingi ni vilabu vipi hivyo mlivyochukuwa mataji mengi zaidi ya Real? Ubora wa kitu lazima kiende na thamani yake La liga imeachwa kwa mbali katika thamani ya kuuzwa tena mbali sana. Huwezi kuwa na ubora halafu thamani huna sema Real na Barca( walikuwa) hakuna team zaidi kutoka La liga tishio. PSG alikuwa na uwezo wa kuchukua sasa kesho tuseme ligue 1 bora. Kwa ufupi kibora lazima kiwe na thamani huwezi kununua NIKE original kwa bei za kariakoo.
Kwa hiyo kuuzwa ghali ndio ubora? Kwa akili yako Harry Maguire ni bora zaidi ya Diaz wa Man City kwa kuwa alinunuliwa bei ghali zaidi?
 
Haifanyi promotion kama EPL inavyo fanya.Ndo maana EPL Ina fatiliwa sana.Lakini uwanjani timu za La Liga na EPL zikikutana mara nyingi mshindi huwa anatoka La Liga.
Huu ndio ukweli mchungu. Hata Sevilla tu ikihamia EPL itanyanyasa sana
 
We jamaa upo sahihi kabisa, chuku timu kama real Madrid leta EPL halafu icheze mechi za ligi, carabao, fa na UEFA kama haijamaliza ligi nafasi ya 10 na UEFA akatolewa mzunguko wa kwanza [emoji28][emoji28]
Hujui unachoongea mkuu. Akija Villareal tu atawanyoosha vizuri tu 😂
 
Acha kujidhalilisha angalia top ten ya waliobeba makombe ya UEFA uniambie EPL imetoa timu ngapi na hao la ligwa wametoa timu ngapi
Wewe ndio unajidhalilisha mkuu. Unabishana na kitu ambacho kiko wazi kabisa. Kama EPL ni bora kwa nini wana makombe machache ya UEFA?
 
La Liga wameishi muda mrefu kwa majina ya Ronaldo na Messi kuuza lakini EPL haiuzi kwa majina ya wachezaji ni team zinawafuasi wengi haijalishi nani anachezea ndio maana juzi baada ya Mpabe kuitolea nje Real La liga president akawa kama mbogo sababu wanatembelea nyota za wachezaji lakini huwezi kusikia Rais wa EPL kuongelea usajili wa wachezaji.

Hata Messi alipoondoka walikuja juu Rais wa La liga wanauza kwa majina ya watu hilo linawatia wasiwasi. EPL is attractive haijalisha anacheza nani.
Kuwa attractive sio kuwa bora. Na ndio maana zinapigwa zikikutana na wababe Ulaya
 
Back
Top Bottom