La Liga wameishi muda mrefu kwa majina ya Ronaldo na Messi kuuza lakini EPL haiuzi kwa majina ya wachezaji ni team zinawafuasi wengi haijalishi nani anachezea ndio maana juzi baada ya Mpabe kuitolea nje Real La liga president akawa kama mbogo sababu wanatembelea nyota za wachezaji lakini huwezi kusikia Rais wa EPL kuongelea usajili wa wachezaji.Haifanyi promotion kama EPL inavyo fanya.Ndo maana EPL Ina fatiliwa sana.Lakini uwanjani timu za La Liga na EPL zikikutana mara nyingi mshindi huwa anatoka La Liga.
Hata Messi alipoondoka walikuja juu Rais wa La liga wanauza kwa majina ya watu hilo linawatia wasiwasi. EPL is attractive haijalisha anacheza nani.