La Liga ni bora kuliko EPL

La Liga ni bora kuliko EPL

Hapo kazi kubwa kaifanya anceloti, kaweza kuiunda timu na hamasa kwa wachezaji, kumbuka madrid wachezaji ni wakuungaunga na pia wakongwe ni wengi. Mtu kama benzema ulimuona alivyoimarika utadhani ni under 30 player
Yule ni Kocha nadhani anamzidi hadi Pep,sema hapewi heshima tu
 
[emoji23] hebu kuwa serious mkuu, Real Madrid peke yake wamebeba UCL 14 ambayo ni zaidi ya makombe yaliyobebwa na vilabu vyote vya Uingereza. Sasa hiyo EPL ubora wake ni upi?
Mashindano kama hayo ya vilabu hayatoi ubora wa ligi.ndo maana ata simba ya tanzania inamfunga al ahly ya misri.sasa hapo huwezi kusema ligi ya Tanzania ni bora kuliko ya misri.
 
Nadhani ni Liverpool vs Man united mkuu,hebu tafuta takwimu vizuri.

Ila Real Madrid kupiga top 3 yote ya EPL pamoja na Bingwa wa Ufaransa,inafikirisha kiasi
Sio inafikirisha, huo ndio uhalisia wenyewe kuhusu La Liga VS EPL. La Liga ni bora sana na ni very technical league. Unapigwa mpira mwingi mno sio kama EPL watu wanakimbia kimbia tu.
 
Mashindano kama hayo ya vilabu hayatoi ubora wa ligi.ndo maana ata simba ya tanzania inamfunga al ahly ya misri.sasa hapo huwezi kusema ligi ya Tanzania ni bora kuliko ya misri.
Unafurahisha sana mkuu. Hata mimi naangalia zaidi EPL na kuifuatilia lakini akilini najua kuwa La Liga is the best. Sema haiko maarufu sana pande hizi
 
Sio inafikirisha, huo ndio uhalisia wenyewe kuhusu La Liga VS EPL. La Liga ni bora sana na ni very technical league. Unapigwa mpira mwingi mno sio kama EPL watu wanakimbia kimbia tu.
Watu wengi hawaangalii La Liga, binafsi nimekuwa nikifuatilia hata zile timu ndogo mfano Villarreal au Sevilla kumpiga United watu walikuwa wanashangaa......ila kule Kuna mpira mkubwa sana
 
Mtoa mada unatumia hoja dhaifu sana. Umeshindwa kutofautisha la liga na real Madrid. Wachangiaji wamejitahidi kukuelimisha lakini bado umekaza fuvu!

Ligi yako ni ya team 2 (labda na Atletico kwa mbaliii!!) tangu nimeanza kujitambua.

Maana ya ligi ni ushindani na si kutoa team moja iliyo bora. England hata championship tu tungekuwa na access Nina hakika bado ingekuwa tamu kuliko la liga. Sioni tofauti kubwa kati ya la liga na hii ligi ya bongo, German, na France.

Kuhusu Real Madrid wala siwezi kukupinga.
 
Huo ushindani unazisaidia nini timu za EPL? Mbona zikikutana na timu za La Liga huwa mara nyingi zinapigwa?
 
EPL inaushindani mwingi kuliko la lilaga ,

auwezi tabiri mshindi Epl
Lakini laliga kama sio Réal Madrid ni Barcelona ndio atakuwa mshindi kila mwaka

ila Epl utakuta
LIVER
M.CITY
CHELSEA
TOTHENAM
M.UNITED
Hata ligi ya Ubelgiji ina ushindani mkubwa mno.
 
EPL inaushindani mwingi kuliko la lilaga ,

auwezi tabiri mshindi Epl
Lakini laliga kama sio Réal Madrid ni Barcelona ndio atakuwa mshindi kila mwaka

ila Epl utakuta
LIVER
M.CITY
CHELSEA
TOTHENAM
M.UNITED

Mleta mada ni lini Totenham amewahi kuwa bingwa? Ni mara ya mwisho lini Arsenal na Man Utd wametwaa ubingwa?

Acha kukariri ndugu, kwa miaka mitano sasa EPL imekua ikigomebewa na timu mbili tu Man City na Liver, Na kati ya hizo City amebeba mara nne. Halafu unasema ligi haitabiriki?
 
La liga ina timu kadhaa ambazo ni bora lakini sio ligi bora.
La liga haina ushindani kama EPL, ubora wa ligi ni ushindani bro.

Kwa saivi ndo inajitahidi kuikaribia EPL .

UShindani wa aina gani uliopo EPL? City wamebeba ubingwa mara 4 kwenye miaka mi 5 iliopita. Liverpool ameshika nafasi ya pili mar 4 kwenye miaka mi 5 iliopita. Sasa ushindani upo wapi hapo?
 
Kikawaida auwezi tabiri match za Epl ila za la liga ni wepesi sana kutabiri matokeo
 
UShindani wa aina gani uliopo EPL? City wamebeba ubingwa mara 4 kwenye miaka mi 5 iliopita. Liverpool ameshika nafasi ya pili mar 4 kwenye miaka mi 5 iliopita. Sasa ushindani upo wapi hapo?
Nimetoka kucheki rekodi hapa kutoka mwaka 2000.
Valencia kachukua mara 2
Atletico kachukua mara 2

Kwa hiyo misimu yote karibu 20 barca na madrid hawajachukua mara 4 tu nyingine zote 16 ni hizo timu 2 kupokezana tu.

Epl kuanzia 2000 waliochukua ni hawa
Man u kachukua, Arsenal kabeba, Leicester kabeba, chelsea kachukua, liver kabeba , man city kabeba. Timu 6 zote lakini hiyo ligi yako ni timu 2 tu zinapokezana.

Si ajabu msimu ujao timu ikaibuka epl na ikachukua ubingwa lakini sio kwa hao watawala wawili.
 
Sawa, pale england timu ngapi zinamzidi barca UEFA??
Ni liver pekee ndo imemshinda.

Na kama kigezo ni UEFa bado epl ni bora coz timu zake 4 zimebeba hilo kombe, haya huko la liga ni timu ngapi kwenye hiyo ligi zimebeba UEFA?? Jibu ni timu mbiliii tuu

Nshakwambia hiyo ligi ina timu 2 bora ila sio ligi bora kijana, elewa hilo.
Nadhani wewe ni shabiki wa barca huwa ni wabishi sana nyie 😀😀
 
Ni liver pekee ndo imemshinda.

Na kama kigezo ni UEFa bado epl ni bora coz timu zake 4 zimebeba hilo kombe, haya huko la liga ni timu ngapi kwenye hiyo ligi zimebeba UEFA?? Jibu ni timu mbiliii tuu

Nshakwambia hiyo ligi ina timu 2 bora ila sio ligi bora kijana, elewa hilo.
Nadhani wewe ni shabiki wa barca huwa ni wabishi sana nyie [emoji3][emoji3]
Katika misimu 10 iliypita timu za laliga zimechukua Europa mara 6/10 na UEFA champions 6/10 yaani zaidi ya nusu kwa kila mashindano
 
Katika misimu 10 iliypita timu za laliga zimechukua Europa mara 6/10 na UEFA champions 6/10 yaani zaidi ya nusu kwa kila mashindano
Na wewe unasema la liga ni bora kuliko epl😀😀.

Haya bna wacha kila mtu abaki na yake, hatufiki muafaka hapa mkuu.
 
Back
Top Bottom