La Liga tamu kuliko Premier!

La Liga tamu kuliko Premier!

Juzi tena wamepigwa mbili sufuri na Hercules
Madogo walikuwa juu kinoma,walitukamata vibaya mno. Anyway wametoa ujumbe mzuri kuwa this time things may not be the same,hawakubahatisha wamepiga 2 Camp Nou tena ktk muda ambao tunge equalize lakini wapi!! They deserve it, hongera kwao
 
Back
Top Bottom