La Liga vs EPL.

Na mara ngapi timu za Spain kabeba UCL achilia mbali EUROPA Cup?kafanya utafiti,EPL hamna kitu wanachonga sana ligi ya madomokaya,karibu La Liga kaka.
 
Washibiki wa EPL ni wabishi tu, hata ukweli hawataki kuukubali
Wanaamini kila SKY Sports wanachosema,wakisema Bale mchezaji bora wa dunia basi nao watasema,au Man City timu bora kisa ina hela,lakini wapi,Spain vitendo sio kuongea sana,hata Ronaldo kiwango kimepanda zaidi kuja Spain kakutana na wanaojua sopa,Prieto,Luis Garcia Hernandez wa Espanyol naamini wakija EPL basi watakuwa wachezaji bora japo hawaitwi Spain national team,kama David Silva Jimanez ambae ndie kama mwokozi Man City au Juan Mata pale Chelsea,walipokuwa Valencia walikuwa wa kawaida maana kuna wazuri wengi kuliko wao,ukibisha angalia leo Valencia vs Real Betis,sio mpk wasubiri big 4 EPL
 
Na mara ngapi timu za Spain kabeba UCL achilia mbali EUROPA Cup?kafanya utafiti,EPL hamna kitu wanachonga sana ligi ya madomokaya,karibu La Liga kaka.

Kujibu swali lako ni mara ngapi timu za spain zimebeba kombe la CL( tokea 1955/56, ukumbuke kabla ya 1992 lilikouwa linaitwa European Champions clubs' cup) ni mbili tu Real Madrid waliobeba mara 9 na Barca mara 4. Angalia timu za England zilizobeba kombe hilo kwa kipindi hicho ni Liverpool mara 5, Man utd mara 3, Chelsea mara 1, Aston Villa mara 1, Nottingham Forest mara 2. Haya pigia mstari wapi kuna ligi bora ukizingatia kigezo cha ushindani zaidi ya vilabu viwili.

Source Champions League - List of winners
 
Na mara ngapi timu za Spain kabeba UCL achilia mbali EUROPA Cup?kafanya utafiti,EPL hamna kitu wanachonga sana ligi ya madomokaya,karibu La Liga kaka.

Tatizo lako kubwa umeanza kufatilia mpira juzi na unaongea kishabiki sana,angalia statitics za UCL Kati ya Laliga na EPL

Katika miaka 57 ya UCL ni timu 2 za SPAIN tu ambazo zimechukua UCL,Real Madrid na Barcelona,Madrid amebeba mara 9,Barca mara 4 kumbuka Real Madrid amechukua mara nyingi sababu alichukua kombe miaka 5 mfululizo wakati kombe limeanzishwa (1956,1957,1958,1959 na 1960) kipindi ambacho timu zilikuwa chache na hakukuwa na ushindani

EPL timu 5 zimechukua UCL, Liverpool-5,Manu-3,Notingham Forest-2,Aston Villa-1,Chelsea-1
 
Kocha anaita wachezaji timu ya Taifa ambao wanafaa kwenye mfumo anaoutumia kwenye timu,msingi wa mafanikio Spain umeletwa na BARCA ndio maana makocha Aragones na Del Bosque lazima watawachezesha (Pique,Puyol,Iniesta,Basquet,Xavi,Pedro na Villa) kama wako fiti tofauti na kina Mata,Silva ambao wanacheza mfumo tofauti na mfumo ambao unatumika kwenye timu yao ya taifa
 
Sio nimeanza kufuatilia mpira juzi,la! ila hata mimi nilikuwa kama wewe na wafuasi wenzio nilikuwa nafuatilia na kuamini sana ligi ya England ni bora 7bu ndio nilikuwa ninaiona sana,ila baada ya kuja kisamvulacholi nikawa naona la liga nikaona kweli ni ligi bora,acha kupiga mayowe kaka waje waone wenyewe waswahili wana msemo huo,kwahiyo mimi siongei sana kama wewe bali unaona vitendo na mwisho wa wote unakuwa kimya kutokana na aibu unayopata kwa kubwabwaja kama waingereza
 
 
Silva toka yupo Valencia anaitwa na sasa ni 1st eleven hakosi,Alonso toka Liverpool anayo namba,ndio wengi walio Barca ni wazuri,kuna wengi wapo la liga hawaitwi na wala wengine namba hawapati eg Navas na hata Cazorla alipokuwa Malaga
 
We balaa kwa uandishi huu huna mtiririko wa aya zako kichwa na miguu havijulikani viko wapi inshort hueleweki na huna facts.. Messi ana goal 7 CR7 ana goal 8 UCL je huwa wanakutana na team za spain tu katika UCL?? CR7 kaipiga goli 2 Man u je man u ipo spain?? Messi amekuwa mfungaji bora wa UCL kwa misimu 4 mfululizo je alikuwa akizifunga team za spain??? Madrid ni mabingwa wa ulaya mara 9 Barca mara 4 je zilkuwa zikikutana na team za spain pekee?? team za spain ni bora sana na hujidhihirisha katika mashindano ya kimataifa siyo ya ndani tu na kwa hakika the way they are playing football that is the pure football match.. ndivyo mpira unavyotakiwa kucheza lazima kuburudisha na ushindi juu the only problem madrid na barcelona are more superior not only in spain but also worldwide but still huwa zinaangukia pua kwa baadhi ya timu pale la liga... ibebe madrid na barca uziweke pale EPL ziataondoka na pointi 121 kila mmoja. ila zichukue Man city man u ziweke pale La liga zitastruggle zisishuke daraja.
 
Sikushangai kuleta ubishi usio na maana sio mara ya kwanza,tangu siku ile uliyokuwa unabisha kuwa Yaya Toure hakuwepo wakati Barca anafungwa na Inter ndio nikakujua kuwa hamna kitu.
 
Silva toka yupo Valencia anaitwa na sasa ni 1st eleven hakosi,Alonso toka Liverpool anayo namba,ndio wengi walio Barca ni wazuri,kuna wengi wapo la liga hawaitwi na wala wengine namba hawapati eg Navas na hata Cazorla alipokuwa Malaga
Silva alikuwa anakaa benchi wakati Spain inachukua Euro 2008 na WC 2010,ameanza kucheza karibuni baada ya Del Bosque kutumia mfumo wa (false no 9) baada ya David Villa kuumia na Torres kuwa chini ya kiwango
 
Sikushangai kuleta ubishi usio na maana sio mara ya kwanza,tangu siku ile uliyokuwa unabisha kuwa Kolo Toure hakuwepo wakati Barca anafungwa na Inter ndio nikakujua kuwa hamna kitu.
Tatizo lako wewe siasa nyingi ktk mpira,ni sawa na kauli yako Kitu ambacho mwanasiasa anasema ukweli ni jina lake tu
haya basi epl ni > la liga,maana hata aiejua kusoma anaona,kuliko kuleta maneno mengi,sasa badala ya Yaya unaleta habari ya Kolo,sawa,ila mimi siongei sana uwa vitendo na vinaonekana nikiongea,ndio maana Barca ilipofungwa na AC Milan nilikaa kimya nilikubali,soka sijisifu mimi nafuatilia ligi mbalimbali sio nyie England ndio maana inakuwa ngumu kuelewana na wewe,hata Messi alipopewa mara 4 uchezaji bora duniani hawajaangailia siasa pale kama rais USA asizidi miaka 8 au bongo miaka 10,kwahiyo punguza sana siasa ktk soka,unaona mwenyewe hata kama haujaenda shule,acha siasa kama waingereza ndio maana timu yao ya taifa haifanikiwi miaka yote,Rooney,Lampard wakifunga mabao mbali au sijui la 200 basi watatangza dunia nzima ndio wachezaji bora,ndio na wewe unafuata sana huko nakuona bwana BELO
 
Silva alikuwa anakaa benchi wakati Spain inachukua Euro 2008 na WC 2010,ameanza kucheza karibuni baada ya Del Bosque kutumia mfumo wa (false no 9) baada ya David Villa kuumia na Torres kuwa chini ya kiwango
alikuwa timu gani wakati anapata namba?punguza siasa ktk soka,acha kupiga mayowe unaona mwenyewe,tena yupo EPL sio la Liga anacheza sasa,au na kwa taarifa yako najua La Furia ROja hauwafutilii zaidi mpk world cup na euro,Cazorla nae anapata sana namba siku hizi anampokeza Xavi,angalia siku moja moja hata Levante Obafemi Martins vs Deportivo la Coruna kina Riki,Manuel Pablo,Juan Carlos Valeron sio mpk el clasico au EPL Kila siku na kuwasikiliza sana kina Alan Cushbley na Gary Neville (Red Neville)
 
gutierez

Tatizo lako kubwa ni kujifanya unajua sana,wenzio hawajui,nafatilia La liga since late 1999 na ni mshabiki wa Barca kwenye La Liga but naongea ukweli sina ushabiki wa kinafiki kama wako.
Kulikuwa na kipindi ukiangalia game za Depor,Valencia,Zaragoza VS Barca/Madrid game zinakuwa na upinzani na ni ngumu ku-predict matokeo lakini sasa Barca/Madrid wakicheza unajua kabisa Barca/Madrid wanashinda na Messi/CR7 watafunga
 
Last edited by a moderator:
Mbona unajihami kaka,wewe si ndio umeniambia mimi soka nimeanza kufuatilia juzi,haya sasa unaniambia mimi mjuaji,kazi kwelikweli lol,inaelekea na wewe ni shabiki mamluki,mimi siamini wewe ni barcelona,na nina mashaka,sijigambi ila kwenye ukweli naongea kaka,na ndio ukweli halisi unaonekana hata kwa asiejua kusoma,la liga 3,epl 0 ucl msimu huu
 
Sikushangai kuleta ubishi usio na maana sio mara ya kwanza,tangu siku ile uliyokuwa unabisha kuwa Yaya Toure hakuwepo wakati Barca anafungwa na Inter ndio nikakujua kuwa hamna kitu.
Asante
 
Kwa taarifa yako toka 2000 ucl ikiwa inaenda raundi ya pili ukitoka group stage halafu next group stage(16 teams) kabla kubadilisha 2003 ukitoka group stage then 16 rounds(mtoano),UCL Spain limeenda 5 Real 2(2000 na 2002) Barca 3(2006,2009,2011),England 3 Liverpool 1(2005),Man Utd 1(2008) na Chelsea 1(2012)
ukitaka jumla Real Madrid 9 Barcelona 4 jumla 13 Spain,Liverpool 5,Man utd 3,NForest 2,ASton Villa 1 na Chelsea 1 jumla 12 England labda ukijumlisha na Celtic 1 ndio 13 na sio England itakuwa UK(United Kingdom)
 
Ulivyoanza kwa taarifa yako nikadhani kuna jambo jipya silijui unataka zungumza kumbe unaongea vitu ambavyo navifahamu,

Kuwa na msimamo nimekwambia ni timu 2 tu za Laliga zimmebeba UCL tangu limeanzishwa while EPL timu 5 zimebeba UCL sasa nashangaa kigezo cha mwaka 2000 kimetoka wapi? Why usiseme mwaka 1970/1980/1990
 
na ndizo timu 2 bora duniani,hata CR 7 na LM 10 wameshafunga(CR 7 vs Man U,Man City wakati akiwa Real Madrid sio timu za la liga tu)LM 10 kishafunga vs Man U,Arsenal,Bayern Munich na AC Milan(Gang Chomba alimuita nesi anafunga kina osasuna lakini kafungwa juzi kawa mpole na heshima kwa LM 10)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…